Zungu: Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.

"Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Na bila kujua historia ya taifa lako au culture ya taifa lako, huwezi kuelewa Utanzania ni nini. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza kwa msimamo na kazi za kujitolea kwenye amani ya mataifa mengine."

"Nchi hii, enzi za Mwalimu, ndio imekomboa mataifa mengi ambayo yalikuwa chini ya mabepari. Vita vya Kagera, amini usiamini, alifikiri anafanya mchezo tu, matokeo yake kakimbia Uganda kenda kufanya kazi ya bureau de change Saudia. Kwa kazi iliyofanywa na vyombo vya nchi hii, tulianza kupewa masharti ya kuacha kugharimia JKT—hamjui hayo—na masharti hayo yawekwa na taasisi za pesa za kimataifa. Mwalimu alipewa masharti: elimu bure mpaka chuo kikuu, ondoa; afya, ondoa; JKT, ondoa; na baya kabisa tukaambiwa tusisafishe mafuta Tanzania, refinery yetu ikaambiwa isisafishe mafuta. Simply kupata mikopo."

Spika yupo sahii 100%:KasugaYeah:
 
Screenshot_20260406-150040~4.png
 
ok lets give the devil its due kwmba hawayajui yote hayo , sasa wakulaumiwa ni nani hapo labda? isistoshe kama mngezalisha ajira (boda boda siyo ajira), mkapambana na ufisadi, kuondoa uonevu, wizi, dhuluma, nepotism, mambo yengekuwa mengine kabisa.

hivyo failure ni ninyi kwa kuishindwa kutimiza wajibu wenu ...
 
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.

"Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Na bila kujua historia ya taifa lako au culture ya taifa lako, huwezi kuelewa Utanzania ni nini. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza kwa msimamo na kazi za kujitolea kwenye amani ya mataifa mengine."

"Nchi hii, enzi za Mwalimu, ndio imekomboa mataifa mengi ambayo yalikuwa chini ya mabepari. Vita vya Kagera, amini usiamini, alifikiri anafanya mchezo tu, matokeo yake kakimbia Uganda kenda kufanya kazi ya bureau de change Saudia. Kwa kazi iliyofanywa na vyombo vya nchi hii, tulianza kupewa masharti ya kuacha kugharimia JKT—hamjui hayo—na masharti hayo yawekwa na taasisi za pesa za kimataifa. Mwalimu alipewa masharti: elimu bure mpaka chuo kikuu, ondoa; afya, ondoa; JKT, ondoa; na baya kabisa tukaambiwa tusisafishe mafuta Tanzania, refinery yetu ikaambiwa isisafishe mafuta. Simply kupata mikopo."

Hili nalo takataka🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Tanzania ni bonge moja la nchi
 
Even a group of owls is called parliament!
 
Tulipotoka baada ya October 29 2025 au kabla?
 
Kabisa lazima tujishangae maana vimetokea vifo vya watanzania siku ya uchaguzi lakini watawala wameenda kuapishana na kusema uchaguzi ulikuwepo wa amani
 
Back
Top Bottom