Nimeandika kwa makusudi nilichoandika.Ulichokiandika hapa huoni kinasadifu kwamba wewe ndiye unaetapeliwa na ccm?au hujahariri maandishi yako kabla hujayarusha humu?

Hiyo mzee aache historia za kijinga, mla mla leo mla jana kala nini?Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.
"Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Na bila kujua historia ya taifa lako au culture ya taifa lako, huwezi kuelewa Utanzania ni nini. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza kwa msimamo na kazi za kujitolea kwenye amani ya mataifa mengine."
"Nchi hii, enzi za Mwalimu, ndio imekomboa mataifa mengi ambayo yalikuwa chini ya mabepari. Vita vya Kagera, amini usiamini, alifikiri anafanya mchezo tu, matokeo yake kakimbia Uganda kenda kufanya kazi ya bureau de change Saudia. Kwa kazi iliyofanywa na vyombo vya nchi hii, tulianza kupewa masharti ya kuacha kugharimia JKT—hamjui hayo—na masharti hayo yawekwa na taasisi za pesa za kimataifa. Mwalimu alipewa masharti: elimu bure mpaka chuo kikuu, ondoa; afya, ondoa; JKT, ondoa; na baya kabisa tukaambiwa tusisafishe mafuta Tanzania, refinery yetu ikaambiwa isisafishe mafuta. Simply kupata mikopo."
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.

Faraja za kupewa zinachoshaaa hasa pale ikiwa ni za kisiasa na nje ya uhalisia.Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.
"Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Na bila kujua historia ya taifa lako au culture ya taifa lako, huwezi kuelewa Utanzania ni nini. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza kwa msimamo na kazi za kujitolea kwenye amani ya mataifa mengine."
"Nchi hii, enzi za Mwalimu, ndio imekomboa mataifa mengi ambayo yalikuwa chini ya mabepari. Vita vya Kagera, amini usiamini, alifikiri anafanya mchezo tu, matokeo yake kakimbia Uganda kenda kufanya kazi ya bureau de change Saudia. Kwa kazi iliyofanywa na vyombo vya nchi hii, tulianza kupewa masharti ya kuacha kugharimia JKT—hamjui hayo—na masharti hayo yawekwa na taasisi za pesa za kimataifa. Mwalimu alipewa masharti: elimu bure mpaka chuo kikuu, ondoa; afya, ondoa; JKT, ondoa; na baya kabisa tukaambiwa tusisafishe mafuta Tanzania, refinery yetu ikaambiwa isisafishe mafuta. Simply kupata mikopo."
Kama bonge la nchi mbona unaomba msaada wa kujenga vyoo na kuzindukiwa na waziriTanzania ni bonge moja la nchi
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.
"Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Na bila kujua historia ya taifa lako au culture ya taifa lako, huwezi kuelewa Utanzania ni nini. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza kwa msimamo na kazi za kujitolea kwenye amani ya mataifa mengine."
"Nchi hii, enzi za Mwalimu, ndio imekomboa mataifa mengi ambayo yalikuwa chini ya mabepari. Vita vya Kagera, amini usiamini, alifikiri anafanya mchezo tu, matokeo yake kakimbia Uganda kenda kufanya kazi ya bureau de change Saudia. Kwa kazi iliyofanywa na vyombo vya nchi hii, tulianza kupewa masharti ya kuacha kugharimia JKT—hamjui hayo—na masharti hayo yawekwa na taasisi za pesa za kimataifa. Mwalimu alipewa masharti: elimu bure mpaka chuo kikuu, ondoa; afya, ondoa; JKT, ondoa; na baya kabisa tukaambiwa tusisafishe mafuta Tanzania, refinery yetu ikaambiwa isisafishe mafuta. Simply kupata mikopo."
Sisi hatuhitaji kujua wapi tumetoka tunachotaka ni kuisha sasa na keshoSpika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema Watanzania wa sasa hivi hawajui nchi hii ilipotoka. Tunajidharau lakini mataifa ya nje wanatupongeza.