Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni


Wewe ndiye mpumbavu. Na haswa watu kama wewe ndio wanashusha hadhi ya wanawake wa Tanzania. Unafanya watu waone wanawake wa TZ vichwani hazimo ila midomo juu!.

NIONYESHE MLETA MADA ALIPOANDIKA "WANAWAKE WA KITANZANIA"!. Ukiona kosa lako, nitaarifu, tusonge mbele.
 
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako mbuzi kabisa
Ulichoongea wewe kwa kuandika hapa umekiwazia kichwani au miguuni mpumbavu kabisa
Kuna Forum ya Waganda mpelekeni huku idiots!
Usitulazimshe wote tumpende huyo zari mapenzi yenu peleka huko nyambafu kabisa
Amesema ukizinguka Tanzania nzima
Angesema ukizunguka dunia nzima au East Africa
Next time don quote me
Rubbish****
 
Hili jibu limenifurahisha kwa kweli, ingawa sipendi matusi, Ila kuna watu wanaboa, hasomi uzi vizuri yeye anakurupuka kujibu tu, hapo umempatia jibu analostahili
 
kwa wanawake maarufu sawa, lakini wa kimya kimya mbona tuna mashangazi na mama wadogo over 40 yrs hatare tupu!
 
Utoto unakusumbua
Labda ukikua utaacha
 
Akili za wapiga nyeto utaziona tu. Kwanza we unafikiri milioni ni mavi kila mtu awe nayo?
 
hahaha...povu lako ni zito mkuu, hasa hapo kwa mama diamond
 
mkewangu ni mzuri kuliko huyo[emoji127] [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…