Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
Mpumbavu ni wewe na ukoo wako mbuzi kabisaWewe ndiye mpumbavu. Na haswa watu kama wewe ndio wanashusha hadhi ya wanawake wa Tanzania. Unafanya watu waone wanawake wa TZ vichwani hazimo ila midomo juu!.
NIONYESHE MLETA MADA ALIPOANDIKA "WANAWAKE WA KITANZANIA"!. Ukiona kosa lako, nitaarifu, tusonge mbele.
Hili jibu limenifurahisha kwa kweli, ingawa sipendi matusi, Ila kuna watu wanaboa, hasomi uzi vizuri yeye anakurupuka kujibu tu, hapo umempatia jibu analostahiliMpumbavu ni wewe na ukoo wako mbuzi kabisa
Ulichoongea wewe kwa kuandika hapa umekiwazia kichwani au miguuni mpumbavu kabisa
Kuna Forum ya Waganda mpelekeni huku idiots!
Usitulazimshe wote tumpende huyo zari mapenzi yenu peleka huko nyambafu kabisa
Amesema ukizinguka Tanzania nzima
Angesema ukizunguka dunia nzima au East Africa
Next time don quote me
Rubbish****
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,
Mtoto mashallah...

chombo ni kizuri kuanzia ndani mpaka njeUnasifia ngurunda, kizuri kipo kwa ndani kwa nje unajiongopea
hahaha...povu lako ni zito mkuu, hasa hapo kwa mama diamondkakuta pesa ndo maana na miaka yake hiyo 34 haja teseka,sio nyie mpaka mbahatike mwenye pesa msha kula dushelele mia na kitu wakati katoka kwa huyu kaingia mond na pesa hipo.mbona mama yake diamond sasa anaonekana mzuri tu na mtu kasimamia kucha kampa mimba
wewe jua kutafautisha kati ya sura za make up na natural, hyo mtoto hata akipaka majivu usoni bado utamuelewa tuMake up zinakuzingua sio!!
weka picha yake tusibitisheWala sio mzuri kama mke wangu