Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Povu lililonje ya container na nadhani linatengenezwa nje ya chombo. Hii inaonyesha asili yake siyo kusifiwa Urembo kwa Zari bali lina asili nyingine ila Sifa hizi zimeliumua tu.

Angalia alichokiandika hata kwenye mada hakipo. Mwandishi hajasema hata sehemu moja kwamba "wanawake wa Kitanzania. lakini akili za kiwango cha chini kama hizi, hazijaelewa na kukurupuka kama maimuna. Huu umaimuna ndiyo unaowafanya wasichana wa TZ waonekane chini ya kiwango. Vichwani hakuna.

Kwa mwendo huu ni aibu kubwa kuwashindanisha na Zari kwa sababu ni watu wa kiwango cha chini mno. Namshauri Zari aache kugombana na majuha, badala yake achukue muda wa ku mingle na watu wenye ufahamu wa kiwango chake. La sivyo atajitafutia stress bure. Hawa wajukkuu zangu TZ, siyo kabisa hadi fedheha!.

Huyu yawezekana ni yule mjukuu wangu aitwaye mabeto ama changudoa mwingine anayemsagia meno Zari kwa kumfanya Mondi amwone yeye tu. Si kitu kingine hiki. Ni wivu wa kibiashara tu.


Mhhh hili povu ni la kiwango cha grisi wacha nichukue nipake vyuma vyangu
 
Achana kabisa na huyo Mwanamke ,nimzuri sana ila kuna vitu hana ambavyo huwa navipenda!!.
 
Nyie mliokosa uelewa ndiyo mtashindana naye
Nimekuambia facts you either swallow or ignore period!

You better keep quiet zero brain. I do not have time for stupidity. Ok? No head can fail to see your idiocy!. Ishia basi mpumbavu!. Nimekuambia kichwa chako ni cha funza.

Pumbavu kabisa. Nani kasema wanwawake wa Kitanzania? Ishia huko juha sina muda na wewe. Pumbavu!.

Ungelikuw ana fact yoyote ungejiona namna gani wewe ni kichwa hoho!
 
Aisee kweli ila hiyo ni rangi yake? Hana mistari kwenye mimapaja yenye rangi mbili?
 
Inaonyesha huna mke/Mme, mpenzi wala mchumba ndo maana unabwatuka kuongeza na kusifia wengine. Mwanamke mzuriiii kuliko wote ni mke wangu tu. Kwa maana hiyo Kila alieoa kamuoa mke mzuri kuliko wote duniani. Sifia chako hukulazimishwa kukichukua!
 
umezuzuka na makeup za usoni .. mambie ajipige picha wakat akitoka kuamka .. kma hukumwona kafanana na beki 3 wako ..
 
Huyo mbona house girl kwa mke wangu, au ni hizo makeup zinakuzuzua?
 
Nikimaliza kupaka grisi vyuma vyangu nitakuja kuleta picha ya mama yangu ana 50+ ila huyo zari haoni ndani pumbafuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…