Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikatai mke wako ni mzuri ila weka picha yake bas ili tuamini maneno yako, lasivyo utakua unabwatuka tu bila ushahidiAcha kuongea pumba wewe...tena jifiche watu wasiuone USO wako...mbona hata mke wangu ni mzuri zaidi yake?
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,
Mtoto mashallah...
natural kama huyu.dada zetu ni hawa hata miaka 20 hanaUmechanganywa na hizo make ups plus fake hairs... Ukimuona akiwa natural, hutotamani umwangalie mara mbili...
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,
Mtoto mashallah...
Mkuu, Jackie wa Mengi ana umri kumzidi Zari?Sidhani.Pigisha kura mkuu.
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu ana umri zaidi ya Zari lakini una mwona?
Lakini pia yawezekana mjukuu wangu Zari akafubaa mwonekano kwa ajili ya stress za maisha ya upuuzi wa mumewe!. Angelikuwa na mtu kam aMzee Mengi, bila shaka angelikuw atofauti. Asingeonekan mtu wa huzuni na mashaka kila wakati.
Jack kamzidi ZariMkuu, Jackie wa Mengi ana umri kumzidi Zari?Sidhani.
Jack kazaliwa 1978Mkuu, Jackie wa Mengi ana umri kumzidi Zari?Sidhani.