Zuwena wa Diamond kioja cha Mwaka, nimempenda bure

Zuwena wa Diamond kioja cha Mwaka, nimempenda bure

Nisiwachoshe sana, huyu bint anafanya siku ionekane fupi kila ukikutana na videos zake mitandaoni.

Kiufupi ni kama comedian flani kuanzia muonekano mpaka kauli zake.

Nilitazama interview moja anasema amelipwa dola za kimarekani 705(mia saba na tano) na kwamba anadai ni sawa milion kumi na saba za kibongo (anasisitiza kabisa zaidi ya mara nne).

Interview nyingine anasema walishuti ile video huko Arusha, na kwamba Arusha ni nchi nyingine haipo Tanzania. Akaulizwa ikiwa Dsm ni saa2 asubuhi je Arusha itakuwa saa ngapi? Anajibu saa6 mchana, dah miyeyusho sana.

Nimetazama interview yake nyingine kafanya Wasafi, dah ana vituko sana huyu bint, sijui ni kujitoa tu ufahamu au kielimu yupo ziiii hana ufahamu wala uelewa, ananifanya nifurahi, nicheke sana kila nitazamapo video zake mitandaoni
Picha yake??
 
Ya mama yangu yanaingilia wapi tena chief??
Taratibu, tusijaribu kuharibiana siku pasi na sababu yeyote.
Umepewa jibu stahiki kutokana na takataka ulizoandika, ukipanda bangi usitegemee kuvuna zabibu.
Kakujibu alivyokujibu ili kukuelimisha na kukunyoosha, I'm sure you're capable of reading between the lines.
 
Hata tu ukimwangalia unaona kabisa ni Tandale type
Yan ukimlinganisha na hata giggy utajua gigiy anaakili sema mjanja mjanja flan anajua jutengeneza umakin wa watu uende kwake ila huyu zuwena dah hapaa naona kama kunauwalakini wa wazi wazi kabisa japo vingine amefundishwa ila pale hamna kituu
 
Ule utafiti kuhusu tatizo la afya ya akili kwa kila watu wanne ulikuwa sahahi
 
Yule manzi slay qeen wa yatapita na exposure yake yote naskia baada ya kushoot na diamond sa hv hapokei smu za boyfriend wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh.......!
 
Yule manzi slay qeen wa yatapita na exposure yake yote naskia baada ya kushoot na diamond sa hv hapokei smu za boyfriend wake
Enh, ko akitazama video ya Yatapita anajiona ndo kashakuwa really in a relationship with Mond?
 
Yan ukimlinganisha na hata giggy utajua gigiy anaakili sema mjanja mjanja flan anajua jutengeneza umakin wa watu uende kwake ila huyu zuwena dah hapaa naona kama kunauwalakini wa wazi wazi kabisa japo vingine amefundishwa ila pale hamna kituu

We achana na Giggy kuna video nimeiona anatema ngeli imekaa sawa mpaka accent. Giggy usela tu lakini akili anazo yule.
 
NDIO UJINGA TUNAOPENDA HUKU RASLIMALI ZA NCHI ZINATOWEKA.

WIZI HADI OFISI YA CAG.

VIJANA WA KITANZANIA HOVYO KABISA SHAME
 
Back
Top Bottom