Elections 2010 Zyansiku: Bashe ametumwa na Mungu!

Elections 2010 Zyansiku: Bashe ametumwa na Mungu!

Ndugu yangu Bashe, hata ufanye nini, hawakutaki. Haya maneno ya Masha ni sanaa tu.

CCM siju inatupeleka wapi!! Tujipe moyo. Namuomba Bashe ageuze wale watu wote waliompigia kura waje wampigie kura mgombea wetu CHADEMA both wa ubunge na rais mtarajiwa. In so doing atalipiza kisasi, lakini kwa sasa hawezi kupambana nao kamwe...
 
masha hana nguvu ya kwenda against maamuzi ya chama,wote ni walewale tuuuuuuu

Hasa ukizingatia kuwa mwenyekiti wa chama ndiye alieanziasha motion kwa kuweka pembeni faili lake na kusema hatumjadili kwa vile ana utata wa uraia wake na vyombo vya dola vinalishughulikia suala lake. Nani angepinga? Ukijenga hoja NEC inanyang'anya kadi! Sikiliza kauli za makamba ziko wazi kabisa kuwa ushauri wa mkubwa(JK) ni agizo. Sasa nani apinge agizo la mkuu?
 
Bado kitendawili kuteguliwa...mi sijaelewa kama urais wa bashe hauna utata ina maanisha nini? je hakuna utata kuwa ni raia wa Somalia au hakuna utata kuwa ni raia wa TZ? hapa waziri hajajibu...so tungoje tusikie lipi litaibuka kutegua kitendawili hiki.
 
Masha anasubiri maelekezo toka kamati kuu kabla ya kutamka rasmi, na kwa hili sidhani kama atapingana na ma BOSS wake katika chama yaani JK, Ma-rope (Makamba) na Msekwa!
 
Waziri wa mambo ya ndani amesema kuwa haoni utata katika uraia wa Bashe (source; Mwananchi ya leo).

Swali; Bashe ana maamuzi gani? (kama yupo kati yetu aliye karibu naye)

Je, Watanzania wana usalama kweli katika suala la uraia? Mtu yeyote hawezi kuzushiwa sio raia kwa manufaa ya kundi au mtu fulani kama ilivyofanya kwa Bwashee?

Full Story hii hapa:

Masha: No controversy over Bashe citizenship

By Lydia Shekighenda

19th August 2010

email.png

Email

printer.png

Print

comment_bubble.png

Comments

Masha(10).jpg

Home Affairs minister Lawrence Masha

Home Affairs minister Lawrence Masha snappily said yesterday he saw no controversy in the status of the citizenship of embattled CCM cadre Hussein Bashe, until a few days ago one of the ruling party's Nzega parliamentary aspirants.
"This is not the right time for me to comment on the matter. However, if need arises for me to say something, I will surely do so," he added, in remarks to inquisitive journalists who had camped near his office in Dar es Salaam.
The minister was categorical that, for all he cared, the issue did not involve any controversy. But he would not be drawn into saying whether the documents tendered by Bashe to CCM as proof of his disputed Tanzanian nationality were genuine.
He also dismissed as "unfounded speculations" reports that his office or the Immigration Department – at the ministry – was working on the issue.
"There is nothing like that going on in my office," he said, stressing that he was not in a position to give any further details.
The party's powerful National Executive Committee recently sidelined Bashe in preference for Dr Hamis Kigwangala as its flag bearer in the race for the Nzega constituency parliamentary seat in the October General Election.
CCM Ideology and Publicity Secretary John Chiligati announced that the decision was reached after the party discovered that Bashe was not legally a Tanzanian but, rather, a Somali citizen.
The issue touched off heated debate in many parts of the country, with many people demanding clarification from the Immigration Department.
But, until minister Masha's curt remarks yesterday, no such clarification had been made although CCM Secretary General Yusuf Makamba is on record as having suggested that any documents out to prove that Bashe was a Tanzanian would likely be fake.
Bashe is understood to have furnished CCM with genuine-looking documents to clear the air over his nationality, but Makamba was not impressed.
Asked about Dr Kigwangala's reported arrest by Immigration officials, Masha said he had instructed his "subordinates" to work on the matter and keep him posted.
Controversy surrounding the nomination of the CCM candidate for the Nzega parliamentary seat began at the weekend after the party endorsed third-placed Dr Kigwangala instead of Bashe. The latter led the pack in the preferential votes, followed by outgoing Nzega legislator Lucas Selelii.
Bashe scooped 14,466 votes in the primaries to Selelii's 2,706 and Dr Kigwangala's 1,566.
The latter has since confirmed that he was arrested on Tuesday following raging allegations that he is a Burundi national, but insists he is innocent and has tendered all crucial documents to the Immigration Department to prove that he is a bona fide Tanzanian citizen.

SOURCE: THE GUARDIAN

0 Comments | Be the first to comment
 
Masha anasubiri maelekezo toka kamati kuu kabla ya kutamka rasmi, na kwa hili sidhani kama atapingana na ma BOSS wake katika chama yaani JK, Ma-rope (Makamba) na Msekwa!

Kinachonishangaza si aache kusema lolote... Mtu anasema "uraia wake hauna utata" Hii ni sentenso tata. Maana unaweza jiuliza hakuna utata ni mtanzania au msomali. Yeye anakwambia hivo tu...

Kama anasubiri mbayuwayu aseme si angejibu "no comment" kuliko kuchanganya umma namna hii. Hawa ndo vijana wa mbayuwayu...
 
Kwa uelewa wangu mdogo, suala la uraia wa Bashe halina utata kabisa logically, kwa sababu kijana Bashe tayari anao uraia wa birth right, kwa kuzaliwa Tanzania, na mmoja wa wazazi wake (mama) ni raia wa Tanzania ila Baba ndio alikuwa Msomali, lakini tayari alishaomba uraia wa Tanzania, hivyo sasa ni Mtanzania, kwa simple logic, Bashe ni Mtanzania by bith na parentege.

Uraia wake ungeweza kuwa kuwa na utata, pale tuu alipofikisha umri wa 'majority age', miaka 18, alikuwa na uhuru wa kurevoke Utanzania wake kwa kuomba uraia wa Somalia. Kitendo cha Bashe kutorevoke Utanzania wake, kunamfanya kuwa Mtanzania, and no one has the power to revoke his birth right!.

Chiligati japo ni Capten wa Jeshi, ni michemsho tuu, hana uwezo wa kudeclare kuhusu uraia wa mtu eti sio raia, na siri za kilichotokea ndani ya NEC kama ni kweli, hata JK amechemsha kwenye hili " kijana alitusumbua Iringa".

Na hii hatua ya Waziri Masha kupatwa na kigugumizi, ni uthibitisho tuu kuwa Waziri Masha nae ni michemsho fulani tuu. Kama waziri, hakyupaswa kujiuma uma kwenye hili, hii ni lack of confidence on part of Lau, na inaendelea kumshushia heshima yake mbele ya the right thinking members of the society.

Generali Ulimwengu, katika makala yake ya jana kwenye Raia Mwema, ameweka wazi kila kitu.
 
Waziri wa mambo ya ndani amesema kuwa haoni utata katika uraia wa Bashe (source; Mwananchi ya leo).

Swali; Bashe ana maamuzi gani? (kama yupo kati yetu aliye karibu naye)

Je, Watanzania wana usalama kweli katika suala la uraia? Mtu yeyote hawezi kuzushiwa sio raia kwa manufaa ya kundi au mtu fulani kama ilivyofanya kwa Bwashee?

Masha hajatamka kwamba Bashe ni raia au la, ila alidai kuwa "suala la Bashe halina utata!" Sasa hapa huoni kuwa Masha hajasema jambo lolote linalotatua ufumbuzi wa uraia wa Bashe?
 
Kwa uelewa wangu mdogo, suala la uraia wa Bashe halina utata kabisa logically, kwa sababu kijana Bashe tayari anao uraia wa birth right, kwa kuzaliwa Tanzania, na mmoja wa wazazi wake (mama) ni raia wa Tanzania ila Baba ndio alikuwa Msomali, lakini tayari alishaomba uraia wa Tanzania, hivyo sasa ni Mtanzania, kwa simple logic, Bashe ni Mtanzania by bith na parentege.

Uraia wake ungeweza kuwa kuwa na utata, pale tuu alipofikisha umri wa 'majority age', miaka 18, alikuwa na uhuru wa kurevoke Utanzania wake kwa kuomba uraia wa Somalia. Kitendo cha Bashe kutorevoke Utanzania wake, kunamfanya kuwa Mtanzania, and no one has the power to revoke his birth right!.

Chiligati japo ni Capten wa Jeshi, ni michemsho tuu, hana uwezo wa kudeclare kuhusu uraia wa mtu eti sio raia, na siri za kilichotokea ndani ya NEC kama ni kweli, hata JK amechemsha kwenye hili " kijana alitusumbua Iringa".

Na hii hatua ya Waziri Masha kupatwa na kigugumizi, ni uthibitisho tuu kuwa Waziri Masha nae ni michemsho fulani tuu. Kama waziri, hakyupaswa kujiuma uma kwenye hili, hii ni lack of confidence on part of Lau, na inaendelea kumshushia heshima yake mbele ya the right thinking members of the society.

Generali Ulimwengu, katika makala yake ya jana kwenye Raia Mwema, ameweka wazi kila kitu.

Sasa hapa tunaangalia "logic" au Sheria jamani?
 
Inasemekana kuwa baada ya Jk kumtumia Ridhi kutafuta wadhamini, Bwashe alihoji (hadharani) kuwa kama ni suala la kutumia vijana, kwa nini JK hakutumia UVCCM? Na inasemekana hii ilimkera baba na mwana. Je ni kweli?

Inasemekana kuwa Masha ameamua kuliweka hili suala pending kwa kusema halina utata, akisubiria maneno atakayotoa (pengine atakayoambiwa atoe na wenye nchi) mzee mda mfupi ujao atakapoliongelea hili. Ni kweli?
 
Inasemekana kuwa baada ya Jk kumtumia Ridhi kutafuta wadhamini, Bwashe alihoji (hadharani) kuwa kama ni suala la kutumia vijana, kwa nini JK hakutumia UVCCM? Na inasemekana hii ilimkera baba na mwana. Je ni kweli?

Inasemekana kuwa Masha ameamua kuliweka hili suala pending kwa kusema halina utata, akisubiria maneno atakayotoa (pengine atakayoambiwa atoe na wenye nchi) mzee mda mfupi ujao atakapoliongelea hili. Ni kweli?[/QUOTE

probable coz jamaa kwa visasi duuu...
 
Bashe u need to change without any fear...kama makaratasi yako sawa go and join any political party!watakufanya nini?Am sure ukiwa mjengoni hawatakua na lakusema!
 
Sasa hapa tunaangalia "logic" au Sheria jamani?
Sheria, taratibu na kanuni siku zote zinakuwa applicable with logic. Sheria inasema ukiua kwa kukusudia, ni murder na adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa, ukiua bila kukusudia ni manslaughter, adhabu yake ni kifungo maximum miaka 30. Watu wanaua kwa kukusudia, bila kukusudia, wako wanaohukumiwa kunyongwa, wanaofungwa na wanaoachiliwa on the spot.

Mfano ni baba mmoja alipiga rungu binti yake baada ya kumkuta amelala kitandani kwake na kijana wake, baba alikiri kosa na kutoea defence ya provocative, mahakama ilimwachia huru on the spot. Hivyo application ya sheria inaendana na logic.

Uraia wa Bashe kuwa ni Mtanzania hauna utata, papework ya mama yake ambaye ni Mtanzania ndio ilikuwa questionable. Pius Msekwa, amefafanua hili mchana huu akiongea na Sauti ya Ujerumani (DW Radio) kuwa kuondolewa kwa Bashe ni kuiweka CCM on safe side asijeekewa pingamizi, amini nawaambieni mapingamizi kibao ya uraia kwa vigezo hivyo hivyo walivyotumia kwa Bashe, yataiandama CCM kwa sana tuu, ikiwemo issue ya Mkulo.
 
Wenye serikali na chama chao wamekutosa si busara kupambana nao,utaweza kuishia pabaya take a low profile young man,ukigangania watakutafutia vijisababu vingine lukiki.Achana na mambo ya siasa za kitanzania kwa muda.

"You must learn from others' experience as you may not live long enough to do all the mistakes yourself" THE WISE MAN
 
wakuu,
kwenye post inayopatikana hapa mwenzetu zyansiku ametoa mantiki ya ujio wa bashe huko nzega akidai ametumwa na mungu pale aliposema:

...nyuma ya bashe yupo mungu maana watu wa nzega tumetaabika vya kutosha , umeme wa Ndalla unasua sua kwa Mbunge wa jimbo kufanya kazi za kitaifa zaidi nyingine hazitusaidii sisi wa mwaka shahara. HONGERA SANA BASHE NYUMA YAKO YUPO MUNGU!

my take:

kama huyo bashe ni mtume wa mungu (yaani gabriel):

  • :frusty: iweje achakachue uraia?
  • :frusty: iweje apokwe uraia na chama chetu?
  • :frusty: iweje huyo mungu asimlinde dhidi ya hiyo hujmat ya kisiasa?

Heshima kwako Minda,

Tanzania ina watu 42 million ambao kati yao wapo watu zaidi ya 10 waoweza kuongoza katika nafasi mbali mbali,nashangaa sana swala la Bashe msomali tena aliefadhiliwa na chama cha wasomali [Tanzania na Kenya] linapewa umuhimu mkubwa kupita masuala mengi ya maana kwa taifa na wananchi wake.Ikiwa Bashe katumwa na Mungu aende Somalia kuwasaidia ndugu zake waache kuchinjana kila siku.

Ningependa kuona Tanzania inayoongzwa na makabila 120 yanayopatikana Tanzania.kifupi Tanzania hakuna kabila la Kisomali,kihindi,kizungu na kiarabu.
 
Tafadhali naomba unipatie maana ya ilo neno nililo likoza weusi.

:frusty: iweje achakachue uraia? (mbona majaribu?)

"achakachue" contextually linamaanisha kughushi, kuficha uhalisi, kuchanganya (kama ilivyo kwa mafuta ya taa na dizeli); hapa likimaanisha kuchanganya utz na usomali...just a few to mention.
 
Back
Top Bottom