X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Dah! Sawa mkuu japokuwa bado nina maswali kichwani, ila nimechanganya na za kwangu nimekufahamu. ahsante kwa kunifahamisha,:frusty: iweje achakachue uraia? (mbona majaribu?)
"achakachue" contextually linamaanisha kughushi, kuficha uhalisi, kuchanganya (kama ilivyo kwa mafuta ya taa na dizeli); hapa likimaanisha kuchanganya utz na usomali...just a few to mention.