Nachukua nafasi hii kumpongeza AY kwa kutwaa tuzo kwani ni wasanii wengi walishiriki lakini hawajafanikiwa na pia wakali zaidi yake. Nafikiri pia ni wapongeze watanzania kwa kumpigia kura za...
Monday, November 12, 2012
Juzi Diamond akiwa na gari lake alipata ajali (ya kawaida) ambayo ilisababisha sehemu ya mbele kuharibika. Kwa mujibu wa meneja wake, Raqey Mohamed wa I-View Media...
Wana Jamvi habari za asubuhi.
Leo katika jamvi letu hili nimeonelea tuongelee na kuchambua kwa undani maudhui yaliyoonekana katika kipindi kipya cha Lady Jaydee Diary hapo jana katika kituo cha...
Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa...
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa Stargame Alex Mgash jana amepata ajali mbaya ya gari.
Kwa mujibu wa pacha wake, Malonza, Alex alikuwa akisafiri kwenye gari...
Katika kufukunyua fukunyua nikakutana na hii.
MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono huko...
MSANII wa filamu bongo Jackline Pantzel maarufu Jack wa Chuzi, amefunguka na kueleza kuwa ndani ya tasnia yao hakuna mwanamke changudoa au muhuni na kama yupo basi huyo alikuwa na tabia hiyo...
The tennis champ didn't have her ex boyfriend's number to call or send him a text, so instead she came at him on Twitter for the whole world to see! :-). Common didn't reply. See more tweets after...
Baada ya kuwapa michapo ya ukumbi wa disco raining money courtesy of Hasheem Thabeet, sasa nawapa vimbwanga vya masupa staa wengine wa Bongo.
Hawa ni muimbaji Lady JayDee au "Jide" na mume wake...
JAMANI EEEE UKWELI NI KWAMBA HARUSI YA AUNTY EZEKIEL ILIKUWA MAIGIZO TU ILA YASEMEKANA NDOA BADO IPO NA ITAFANYIKA DUBAI HIVI KARIBUNI...!!!
Hahaha acha nijichekee mie lol maana...
Janet Jackson Asilimu, Kufunga Ndoa na Bilionea wa Qatar
Janet Jackson na mpenzi wake bilionea wa Qatar, Wissam Al Mana
Tuesday, November 13, 2012 3:00 PM
Nyota wa muziki wa Marekani na dada...
MSANII mkongwe kwenye wa filamu na utunzi wa hadithi Aunty Fifi, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa baada ya kuokoa na kumjua mungu vilivyo, sasa ameamua kuanza kutoa huduma ya kuwaombe watu...
Msanii Lord Eyez
Rapper wa kundi la Nako 2 Nako Soldiers na Weusi, Lord Eyez, kesho anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea shutuma dhidi yake za kudaiwa kushiriki kuiba vifaa...
MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake...