Kuna habari za kusikitisha kwamba MARIAM KHAMIS amefariki dunia wakati wa kujifungua katika hospitali ya Muhimbili na mtoto amebaki mzima. Marehemu alikuwa star wa muziki wa taarabu kama "paka...
kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia taarifa ya habari itv bila shaka tumeshuhudia utu aliokuwa nao mtangazaji huyu.taarifa ya habari ya leo iliyomuonesha mzee aliyetelekezwa na mkewe huko mabibo...
Kwa kwelisijui unasubiri nini wewe??
Muigizaji wa siku nyingi dotnata amemamua kuokoka na kuachana na pombe na sasa
ameweka maombi yake mungu amsaiidie kuondokana na marafiki zake wote walevi...
miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
mimi sio mdau wa haya mambo but huyu dogo kanivutia kwa kweki ana kipaji natural, ni mkali jamani sema ndo hivo wabongo hatupo fair ,yule wababa wanamfagilia sijui ana nini,sijui ana tunguri...
,
Katika Kipindi cha Mboni Show Siku ya leo Topic ilikuwa ni kuhusu Wanaume Kujichumbua kwa kutumia Mkorogo, katika kipindi hicho Nyoshi El Sadaat Alikuwa ni mgeni mmoja wapo na Alipoulizwa...
Nasikiliza tbc taifa hapa. Wanamuhoji mshindi wa miss utalii. Yaani hajui chochote kuhusu tanzania. Anasema ataenda kushiriki miss utalii dunia n ataimba nyimbo za utamaduni. Mtangazaji anampa...
KIMWANA ambaye hivi sasa yupo kwenye mahusiano na jamaa ambaye anayeishi nchini Marekani, Linah Sanga, amedai kuwa huwa anapoenda nyumbani kwa wazazi wake huwa navaa nguo ndefu tena za kilokole...
Imeshaanza. tayari
Washiriki ni hawa hapa
1. Walter
2. Nsami
3. Salma
4. Nshoma
5. Wababa
Mshindi katika shindano hili atajinyakulia kitita cha Tshs 50,000,000/=
Update
Time: 22:35...
tuupdate habari za macelebrities wa JF kupitia uzi huu.....
Tukianza na Kijembeee kijana anaekuja kwa kasi anawakaribisha muendelee kubofya na kujuzana,respect kwa...
heshima mbele wana jf
Hebu tulitazame hili la bongo star search na uwezo wa washiriki ndani ya shindano. Kwa kweli nashindwa kuelewa ni nini hasa kinachotokea ktk kuangalia uwezo wa mtu na...
Na Joseph Shaluwa
FAINALI za kumsaka supastaa wa Bongo katika Shindano la EBSS zinafanyika leo Ijumaa, Novemba 9, mwaka huu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar huku mshindi akiwa siyo siri...
Wana jamvi ninasoma kitabu tajwa hapo juu:Baada ya muda nitaomba jukwaa la kujadili mapitio ya vitabu.Mpaka sasa nina mambo ambayo ningependa kuyajadili lakini ni vizuri tukapata jukwaa.Mnaonaje...
Habari Wanajamvi, nilikuwa napitia habari kwenye mitandao nikakutana na habari ya kuombewa msaada kwa dada yetu Ray C, Ndugu John Kitime ameandikka na kuweka namba ya tigo pesa kwa wenye nia ya...