MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ramadhani Kalesela Pingu yupo kwenye huzuni kubwa baada ya kufiwa na mke wake pamoja mtoto aliyekuwa tumboni leo majira ya asubuhi kwenye hospitai ya taifa...
mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida
UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana...
Lucky Philip Dube (3 Agosti, 1964 - 18 Oktoba, 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha...
Hivi hawa ma_representer wetu hapa bongo inamaana wamekosa kuvumbua STAIL nyingine ya utangazaji au..?
Maana karibia 70% wanatumia stail moja.,mfano ukiwasikiliza kwa makini <B_12,adam...
Kuna anayefahamu ikiwa mmoja ya wanamuziki nguli wa Reggae The late Hubert Mctosh (Peter Tosh) aliacha mtoto/watoto? Nimekumbuka one of his greatest hit Equal Rights....."Everyone is crying about...
Siku chache baada ya kuenea taarifa kuwa Baby Madaha kuwa ameondokewa na mama mzazi, staa huyo amefunguka na kuweka mambo sawa kuwa aliyekufa sio mama yake mzazi kama walivyockia bali ni mama...
Kwenye facebook page ya Abdallah Hamis Ambua a.k.a mjukuu wa Ambua wa EA radio/tv inasomeka hivi; dah...!!
nasikia nimesemwa vibaya leo
kwenye radio.. wamenisema
vibaya kuhusu mavazi yangu...
Bongo Flava is a genre of hip hop from Tanzania. The lyrics are in English or Swahili. Two of the biggest stars of this genre are Diamond Platnumz and Lady Jaydee.
Diamond Platnumz - The King...
Hebu kuweni fair, yaani Vincent anarudishwa nyumbani na Salma (mpiga-gita)anabaki hata bila kuingizwa danger zone huku mama Rita anasema hakuna kama huyo na master J anakenua meno tu wakati...
Hebu niambieni yuko wapi dada huyu baada ya kuwa ametumika na akina Chipungahelo ktk mambo ya Miss Utalii na miss world Bikini. It seems few are benefiting from all these parading and cat walking...
Mwanamziki mwenye asili ya kongo aliyetamba kipindi cha nyuma na wimbo wake wa nuhu tufungulie safina kossovo kichaa amerudi tena kivingine. Baada ya kuwa amafukuzwa nchini alipokamatwa arusha...
Mtoto wa Whitney houston Bobbi Kristina aliye na mahusiano na kaka yake wa hiari sasa amechumbiwa,uhusiano wao umezua gumzo na baadhi ya familia yake hawakubaliani na uhusiano huo,wanahisi kaka...
DMX amesema hajui kutumia computer kabisa, eti inamuogopesha hata kuiangalia!
DMX
Rapper mwenye sauti ya kipekee hasa kwenye miondoko ya Hip Hop DMX, ameweka wazi kuwa ameshindwa kabisa...
Jana usiku akiwa ktk kipindi cha mikasi alikanusha madai ya Watz waishio ughaibuni kuwa ameisaliti Tz Na mlima kilimanjaro na lugha maridhawa Kiswahili. alidai kwa kua kiswahli na ml Kilimanjaro...
Kelvin Jackson Twissa'sio kwa ubaya ila heshima kwake huyu mkuu he is genius na anajua anachokifanya na vijana wengi waliopo makazini wanataka kufika nafasi au level kama yake
japokuwa sio kubwa...