SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma Diamond Platnum, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata mafanikio, watu waliodai wao...
USIOMBE yakukute! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia kisa cha aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki wa TAKEU, Nice Lucas Mkenda Mr. Nice, Lulu John (mwenye blauzi nyekundu) anayedai...
Na George Kayala na Haruni SanchawaBABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma Diamond, (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye...
MSANII Rehema Chalamila Ray C au unaweza kumuita kiuno bila mfupa utakuwa haujakosea, amefunguka na kudai kuwa mikakati yake ya ndoa na bwana ake wa Kenya bado inaendelea lakini...
I wonder what happened to keeping it real. Madada zetu siku hizi wanasikitisha sana. Nilikuwa nampenda sana Wema hasa kutokana na uzuri na mvuto wake.
Wema alikuwa ana rangi nzuri sana kipindi...
Hongera Dogo,
Picha juu ni Taswira mbalimbali za mwanamuziki machachari nchini Diamond Platinumz akiwa mbele ya gari yake mpya aina ya Land Cruiser Prado VX.
source: hakingowi blog
BABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond', (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye huyo huku akimsukumia tuhuma...
Mi ni mpenzi sana wa kusikiliza miziki hii ya kina bob, dube etc. Kuna msani wa south nilimfahamu kwa jina la senzo ambaye alikuwa mpiga drum wa luky dube. Nakumbuka vibao vyake vya rasta wakeup...
Msanii huyu Fatuma wa jijini Mwanza anaomba ufadhili kwa ajili ya kurekodi albam yake ya Audio na Video.
Kwa yeyote mwenye nia njema na Muziki wa Bongo flavor anaombwa kutoa mchango wake kupitia...
DEVELOPING STORY: The Okoyes, one of Africas most prominent pop music families, have lost their mainframe with the passing yesterday, of their mother Mrs Josephine Okoye.
No word yet from Peter...
wadau wenzangu wa JF hivi shindano la Bibi Bomba linaloendeshwa na clouds media mnalielewaje? Me naona kama linawadhalilisha bibi zetu hawa na ni kama kujitafutia laana tu kwa kufanya hvyo....
Nawasalimu wadau
Jamani nimecheki event ya wema ni noma sijui pesa anapata wapi ila ni noma.
Wolper na muuza unga wake hana lolote, kakalia hicho kigari, jpkate kuvaa miguo myeusi, na sintah...
kuna mtindo umeanzishwa na wasanii wa kibongo kupiga picha na mavazi yenye alama za freemason na wengine kuzionesha ishara hizo hadharani ili tuamini mali walizonazo ni za chama hicho.mfano wa...
MHUSIKA katika kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' (pichani), ameangusha bonge la ‘pati ya bethdei' ya kutimiza miaka 18 inayodaiwa kugharimu takribani shilingi...
Japo baadhi ya wasanii wanalalamika kuwa "ma promoter" wanawanyanyasa wasanii, kuna dalili zote kuwa baddhi ya wasanii pia wanataka kutumia fursa za wasanii wenzao kurekebisha maisha. Kiwingu...
The couple who had initiated themselves to a cult........in fact Tom was there even before they tied the knot and he later nudged his wife to join him there. These so-called Scientologists seem...
Msanii Chid benz, amemuita prof jay mpuuzi baada ya prof.jay kumuongelea chid kwenye kipind cha mkasi kwamba alimuombea ruhusa chid kwa mama yake ili aimbe,pia zaid ya kumtukana alitaka kumpiga...