Hivi huyu bwana mdogo anaelewa kweli maana ya hiyo sign aliyoweka?.,kuna picha nyingine ilisambaa sana last week akiwa amepiga na mzungu wameweka sign hiyo ya "waashi-huru" akasema alipokuwa...
kweli Wasanii wa Bongo hamnazo:
KUFUATIA mafanikio alinayoyapata hivi sasa kwenye anga ya muziki wa kizazi kipya Bongo, staa wa muziki huo Naseeb Abdul ‘Diamond' ndiye mkali aneingiza...
Mwigizaji five star kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyanganywa mkoko (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
Habari...
Kuna tarifa ya kwamba yule gwiji wa kundi la original comedy ambaye alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kushambuliwa kwa kichwa amelejea kimya kimya nchini kwa talifa ambazo nimezipata katika...
Uchungu wa mama wema kwa wema,nauliza mbona kama wema ndio wa kwanza kuwaita waandishi ili atoke kwenye magazeti sasa mama wema kwa kuwasema wa magazeti tu pila kumuonya na wema itasaidia kweli?
"Ningependa kujibu shutuma zilizoandikwa kuhusu uhusiano wangu na swahiba wangu A.Y.
Ningependa ifahamike kwamba mimi na A.Y kwa kipindi cha miaka 4 tumefanya kazi za muziki kwa karibu pamoja...
Mama wema jana kaongea kwa uchungu sana kuusu magazeti yanavyo mwandika mwanae na kupata faida kubwa kupitia mgongo wa wema,uku wakimwashia sifa mbaya sana mwanae, lakini je ni kweli wema nae...
Siyo vyema kumsema marehemu, hivyo name sikusudii kumsema bali kueleza nitakachomkumbuka nacho. Lakini kwa desturi ya makabila ya Wajita, Wakerewe na kabila la Wajaruo ambalo ninaamini marehemu...
.
Rapper mdogo kutoka A town Dogo Janja aliekua akisoma na kuishi Dar es salaam amerudishwa kwa wazazi wake Arusha jana kutokana na kufanya mambo mbalimbali ambayo uongozi wa Tiptop Connection...
Kwa kweli hawa wanakwaye na watumbuizaji wanajiharibia wenyewe. Kwa mtu yeyote aliyebahatika kununua VCD ya huyu jamaa ni mategemeo yangu haukujifunza ukitoa wimbo mmoja tu uliobeba jina jingine...
That night, glass was everywhere when Drake threw a bottle at Chris Brown leaving the Look At Me Now star with a gash on his chin.
Allegedly the fight started when Chris Brown sent a bottle over...
nIMEONA vinega wametoa review ya track zitakazokuwamo kny antivirus volume three kupitia swahilioriginal.com: The Leading Swahili Original Site on the Net ingia humo ndani usikilize hizo ngoma...
YAH: SABABU ZA MWANA F.A & A.Y KUACHA KUREKODI B HITS
Husika na Kichwa cha Habari;Ningependa kutoa ufafanuzi wa habari iliyoandikwa na blog yako kufuatia mahojiano yako na mwana F.A. Nirejee...
Tulisa crowned 'Sexiest Woman In The World' Bust looking girl ... Tulisa
FHM
Last Updated: 03rd May 2012
TULISA Contostavlos has been crowned FHM mags Sexiest Woman In...