Kila mahali au kijiwe ninachokaa hasa mida ya asubuh na jioni nasikia watu wakimsema huyu bwana kwamba siku hizi hawataki kusikiliza kipindi cha Jahazi eti kwa sababu Kibonde amekua akitetea mambo...
source global publishers
WAPENZI masupastaa ambao iliwahi kuelezwa kwamba wanapendana sana, Joachim Kimaryo Master Jay na Sarah Kaisi Shaa, wanadaiwa kumwagana rasmi.
Chanzo chetu cha habari...
Dj wa kwanza wa kike nchini Tanzania Fatma Hassan aka Dj Fetty wa Clouds Fm amepewa heshima ya kuwa Dj wa kwanza wa kike kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye mashindano ya Big Brother Africa...
Hv ndugu yetu Vengu wa orijino komedi anaendeleaje?je bado yupo India?mbona hatupewi maendeleo ya afya yake?ningependa kujua kutoka kwa wenye taarifa za ukweli na uhakika,Ahsanteni
Damn....
What does the woman who has everything get the man who has everything for his birthday? If you're Kim Kardashian, you buy your boyfriend Kanye West a rare $750,000 Lamborghini. Ball so...
Nimepata taarifa (za uhakika) kuwa Mmiliki wa kampuni ya Aurora Security bwana Ally Suleyman amefariki dunia.
Alonipa habar hizi ni ndugu yake wa karibu....
Dada kashaanza kupiga msuba kwa kwenda mbele! Yaleyale ya kina marehemu Whitney Huoston na kina Michael Jackson!
Na hapa ni baada ya kuzidiwa na madawa ya kulevya na kukimbizwa hosptali.
Sekion Devidi kiongozi wa kundi la Orijino Komedi anasema:
Nimezungumza na SAJUKI na mkewe Wastara kwa dakika 15;Dakika moja iliyopita! Afya yake inaimarika na anaweza rejea Tanzania mapema...
Mafisango uso kwa uso na
kanumba
kanumba: vipi
jembe? Shwari huko?
Mafisango: huko sio shwari
jembe, watu wanagombea
mali zako vibaya
kanumba: vipi lile v8 langu?
Mafisango:hilo...
Hasheem Thabit, mtanzania mwanamichezo mwenye mafanikiozaidi Tanzania, amegonga Bajaj. Ni kwamba alikuwa akijaribu kuipita gari iliyombele yake, bila kujua kumbe mbele ya hiyo gari kulikuwa na...
Stori Imelda Mtema na Erick Evarist | Gazeti la Uwazi
PENZI motomoto kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Mrembo Nambari 3 wa Tanzania 2006, Jokate Mwegelo...
Msanii mkubwa maarufu mwenye jina katika bongo fleva O-ten ametuhumiwa kuiba simu alipokuwa kwenye show Geita amehojiwa mchana huu katika redio makini clouds fm amekiri kuchukua simu hiyo nokia...
Sugu akisikiliza shangwe kutoka kwa mashabiki wake. Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live. Mbunge wa Arusha Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba...
CONGRATULATIONS WILFRED!!!
First Tanzanian to reach the top of Everest!!!!
Wilfred reached the top at 9.00am (local time) 19 May 2012.
Saturday 19th May – AC DISPATCH: Peter, Wilfred &...
Yaani kumbe hizo photo shoot zao wanafanywaga namna hii?? aiseeee huu ni udhalilishwaji wa hali ya juu.....nilikuwa nasikiaga sikiaga aiseee kumbe kweli eeeh!!!!!! mamaaaa yangu
hebu angalieni...