Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii diamond ametoa shukran za dhati kuwa mwanadada wema sepetu kamsaidia sana kumfundisha kiingereza souce:xxxl clouds fm
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani nimesikia eti Hemed yule msanii wa bongo fleva sasa anatoka na wema sepetu na wamewekeana masharti kadhaa ili heshima ichukue mkondo wake.
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna taarifa nmeckia kuhusu mwanamuziki huyu kutoka Nigeria but not confirmed, ni kweli amefariki?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hatimaye wema nyota avishwa tena pete kuonyesha bado nyota yake inang'aa japo anapitia misukosuko mingi katika mapenzi na kudhihirisha usemi ukisema chanini wenzio wanasema watakipata lini. Jamaa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
  • Closed
Jk akiwa katika picha ya pamoja na Katibu mkuu mstaafu wa umoja wa Afrika Dr.Salim Ahmed Salim(kushoto) Pamoja na Mkewe Amne Salim(kulia) na Dr.Ali Salim Pamoja na mkewe Karly Salim wakati wa...
0 Reactions
80 Replies
26K Views
Wanabodi, Katika haya na yale ya Jumamosi, nimepitia hapa Club ya Salender Bridge ambapo kila Jumamosi, wana Njenje hufanya vitu vyao. Mwimbaji pekee wa kike wa Njenje ni Nyota Kinguti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Justin Combs graduated from high school this month from Iona Prep in New Rochelle, N.Y., located in the suburbs of New York City. His talent and hard work earned him a football scholarship to UCLA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
(Reuters) - Canadian pop star Justin Bieber ran headlong into trouble on a European promotional tour on Thursday, knocking himself out backstage in Paris and dealing with a crushing crowd in...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baby madaha aende mahakamani.....wanawake wanapaswa wapewe heshima mbele ya jamii hawa ni mama zetu hawapashwi kudhalilishwa namna hii......huyu ni mama anapaswa kuheshimika kwa kweli...
0 Reactions
38 Replies
14K Views
Nawasalimu wakuu! Naomba link/web ya kuweza kupata taarifa za ziada za wanamuziki wa bongo flava kuhusu historia zao na maisha yao nje ya muziki! K.m. "Baby J" - alikozaliwa na lini, alikosomea na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu ndio kidume sio Ubama kutuzalilisha Watu weusi na wafrika kuhalalisha ushafu. Smith akimchapa kibao Vitalii Sediuk Will Smith alikuwa nchini Urusi akiitangazia filamu yake mpya ya Men In...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Msanii wa Kitanzania DIAMOND leo hii ametoa burudani ya wimbo wake Mawazo katika Big Brother Africa. Leo ni siku ya Eviction show ambapo Mmoja kati ya washiriki Ataondolewa Mashindanoni.
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ni story ya kusikitisha sana ambayo mama bethy masanja(mwajiri) amemtelekeza mfanyakazi wake wa ndani mwenge stand na kumkimbia,tamwa na uwt(wote gender na tiss) wamfatilie huyo mama anaonekana ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UKIANGALIA historia yake, hakika unaweza kusema amefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kampeni za kuuaga umasikini. Cha kufurahisha zaidi ni kwamba, ameyapata mafanikio hayo kupitia muziki wa...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Bongo Flava artiste, Naseeb Abdul alias Diamond Platnumz will be performing at the Live Eviction Show on Sunday May 27 at 20:00 CAT. Known as the king of Bongo Flava, Diamond became the first...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Traveling to Africa is very interesting, howeverif one does not get in touch with the local communities and they stick to theluxurious hotels and four wheel drive Safari Vehicles, they miss the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna mwenye data za utajiri wa diamond? Nasikia ni billionaire
0 Reactions
108 Replies
58K Views
wadau nimepita kwnye fb page ya BBA nkakuta Biggie ameannounce kwmba Diamond Platnumz ataperform ndani ya jumba la BBA ths sunday na kutaka watu wapost maswali watakayopenda aulizwe but most of...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamaa katoa track inaitwa 'nasema nao' kampaka Chid kutoboa pua! Na Manzese hakuna rais ila Madee akaimbe taarab
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Pongezi Bongo Celebrities kwa wimbo wa ‘Mboni Yangu’ ambaO ni maalum kwa msanii Sajuki anayesumbuliwa na ugonjwa. Hongera wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kufanikisha wimbo huu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…