Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Wakuu,nauliza yuko wapi na anafanya nin huyu superstar wa bongo,kijana handsome,anaependwa na totoz za ndani na nje ya nchi{hemed Phd},sijamsikia muda mrefu,au nae keisha amua kustaafu music na...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
  • Closed
wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu...
0 Reactions
36 Replies
11K Views
Mwanamuziki mashuhuri wa ok jazz aliyekuwa pamoja na kina lwambo kutoka zaire amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LIVE GABRIEL ZAKARIA Mtangazaji wa TBC-1 akiwa LIVE katika Chinese Central Television (CCTV) kuzungumzia masuala ya Ushirikiano wa China na Afrika. Kwa kweli TBC Jamani wawe makini wanapotuma...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Wilfred amekuwa mtanzania wa kwanza kuweka historia ya kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.Amefika kileleni leo 19/05/2012 saa 3 asubuhi. HONGERA SANA BWANA WILFRED MOSHI KWA UJASIRI NA...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
haya watoto wa mjini leteni assessments zenu crowd yake ni ipi ile ya meditereaneo, runway, level 8 au ile ya kwa Lady JD?
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu', leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
  • Closed
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
LaDonna Adrian Gaines (December 31, 1948 – May 17, 2012[1]), known by the stage name Donna Summer, was an American singer-songwriter who gained prominence during the disco era of the 1970s. She...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond', ameanika siri za warembo, Wema Sepetu na Jokate Mwegelo. Diamond, amebainisha ubora wa warembo hao kimapenzi, huku akisisitiza kwamba mpenzi wake...
2 Reactions
58 Replies
41K Views
Culture Music Bee Gees...
5 Reactions
45 Replies
12K Views
Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Donna Summer/ Robbin Gibbs wa the Bee Gees/ Chuck Brown. May their souls rest in eternal peace.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mfano mzuri ni movie inayorushwa mda huu kupitia tbc yaani ni kichefuchefu kabisa ! Yaani mtu anaigiza kujiua hata mtoto mdogo anajua hawa wanacheza ! Waigizaji hovyo ! Story hovyo ! Yaani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba wadau mnitoe tongotongo kwenye hili,binafsi sielewi ni kigezo gani kinafanya mtu awekwe kwenye wikipedia maana nikiangalia mastaa wengine wa bongo sionagi wakiwekwa ila nimejaribu kumgoogle...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwanini wanamziki wa kizazi kipya hawakuwepo kwenye msiba wa patrick mutesa mafisango!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikiwa kama mmoja wa mashabik wako hapa bongo,naomba kujua cv yako mkuu,na nin kirefu cha hlo neno phd?unatisha kwenye game mkuu.
0 Reactions
11 Replies
10K Views
after being named one of the billionaires on planet..jamaa naona kahalalisha na.demu wake wa.muda.mrefuu congrats sanaa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…