Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

KWA WAKAZI WA TABATA NOW TUNA FAN PAGE YETU KWENYE FACEBOOK, INAITWA (Tabata,Dar es salaam) profile picture yake ni kapicha ka sungura wa pinky.......CYO MBAYA UKIJIUNGA NA PAGE YAKO YA MAKAZI...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi mwandishi Sakina Datoo aliyekuwa anaandika makala zake ktk gazeti la citezen yuko wapi siku hizi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Donna Summer, aliyepata umaarufu kwa vibao vya disco kama I Feel Love, Love To Love You Baby na Love's Unkind, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63. Summer alikuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo KESI YA LULU LEO KWA MALA YA TATU :Ombi la wakili wa Lulu...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Leo ni siku nyingine tena Dunia inaadhimisha kifo cha mwana mapinduzi ( mtetezi wa haki) kupitia Musiki. Bob alichochea hisia za ukombonzi miongoni mwa wanamapinduzi na bado anaendele kazi yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Gwiji wa Hip Hop, aliye pia Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu' atakuwa na usiku maalum kwenye Ukumbi wa Dar Live, uliopo Mbagala Zakhem, Dar es Salaam. Sugu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila wakati analeta videos ambazo ni gumzo Madonna - Girl Gone Wild - YouTube
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Ukoo wa Stiven Charles Kanumba unazid kupotea baada ya Baba yake mkubwa na Marehemu Stiven, Mzee Alan Kanumba kufariki dunia usiku wa kuamukia jana huko Shinyanga Mjini!
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Juzi nimesikia habari kwenye kipindi cha heka heka kinachoongozwa na mtangazaji gea habibu kwamba kuna msanii kabaka na kumlawiti msanii mwenzie ama kweli tutackia mengi mwaka huu na maovu...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Jamani mastaaa wetu poleni na mishe mishe za misiba na wagonjwa.... hapa bongo kuna masupastaa wa nyanja mbali mbali ambao wanang'ara kwa wigo tofauti. lakini amini nawaambia msikimbilie majina ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
MAMA mzazi wa supastaa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu,’ Lucresia Karugila anadaiwa kuikimbia nyumba anayoishi kwa kile kilichoelezwa ni kuwakwepa mashabiki wa marehemu Steven...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
R. Kelly–Radio Message Lyrics This is a radio message to my baby, And I'm begging her Come back, come back, Come back, come back, Come back I'm sorry that I made you cry I'm sorry for the...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuuliza cyo ujnga jaman ni kwli kwmb Diamond n Jokate are matching? Au hao mabnt wanajitoa ufahamu wamsaidie kula hzo pesa thn waondoke? Its realy unusual!
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Badra atoa ufafanuzi kuhusu ukatikaji wa umeme.ahsubui hii. on itv.
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Wanamuziki wa kundi la Bracket la Nigeria Ozioko Nwachukwu a.k.a Vast na Ali Obumneme wamepanga kumshitaki msanii anayechipukia kwa kasi nchini Uganda, Ray wa Big Tym Crew kwa kuwaibia wimbo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza...
2 Reactions
109 Replies
8K Views
Masanja kafanya kweli na zile ahad, kwa ajili ya msaada sajuki. Big up comed na waheshimiwa,
0 Reactions
5 Replies
2K Views
As the number of visitors to Uganda continues to grow, so does the sex tourism – and the potential for exploitation – that comes with it. Sex tourism is one of the negative trends that come with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Exclusive interview na Violeth Mzindakaya Mjumbe wa NEC. wadau blog yetu ilifanikiwa kukutana na mjumbe wa nec violeth mzindakaya nyumbani kwake na kufanya naye interview ana yapi ya kusema...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…