Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba The Great limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu tangu...
Nicki Minaj's father 'devastated' she wanted to kill him over violent temper It has long been known Nicki Minaj had a very troubled relationship with her father.
However it has emerged Omar Miraj...
Ni jambo lisilopingika kuwa wasanii wengi duniani vifo vyao hutokea kwa ghafla hali ambayo wengi wetu inatupa wakati mgumu mf:Michael jackson whitney yuston lucky dube anjela...
Wapendwa,Huyo bibi kwenye video ya mhe.Temba,(Wimbo Ni wewe)Mmeicheki?HAPANA siyo sawa.Natamani niingie kwenye screen nimlambe bakora huyo bb aliyeimbishwa bongo flavour.Cjui twendako..
Awali mkandamizaji alikua anaimba muziki wa injili kwa kujiiba-iba lakini inavyoonekana sasa baada ya kutemwa TBC Kimkataba MM ameamua kujikita mazima, huku ikionekana kabisa yuko kibiashara zaidi...
Kutakuwepo na Misa ya kumwombea Marehemu tajwa hapo juu jumapili ya tar 15/04/2012 majira ya saa tatu ya asubuhi na kuendelea!
Misa hii itaendeshwa na dhehebu zote kuu mbili Nchini ya Dini...
habari nilizozisikia leo saa moja usk ni kkua,marehemu kanumba alikuwa anampango na cdm kugombea ubunge shinyanga,souce baba mzazi akihojiwa na radio wapo ,ktk kipindi cha patapata,na alikuwa...
Source: Kanumba: Hollywood speaks out
Dar es Salaam. A Hollywood executive has spoken about fallen soap star Steven Kanumba and for the first time gave inner details of projects that the...
naomba kuuliza kuwa aliyekuwa mrembo na kufikia ngazi za juu katika masuala ya urembo maarufu kama feza kessy yuko wapi now
mwenye kujua tafadhali atujuze
wao wenyewe huko ukiwa star wa ukweli unazikwa privately yaani ni ndugu wa karibu na maswahiba tu ndio wanahusika, tena unaingia kwa kadi; sasa wasanii wetu kama mnaiga karibu kila kitu cha hao...
Women activists gathered at the Federation for Women Lawyers (FIDA) offices in Kampala on March 29 to condemn Emin Baro, a 53-year old Macedonian man who entered the country as a tourist but has...
Na Shakoor JongoMtangazaji wa Kipindi cha TAKE ONE cha Clouds TV, Zamaradi Mketema juzikati alijifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Aga Khan na kumshukuru Mungu kwa kuutua mzigo huo...
Ni jambo jema kumpongeza na kumpa moyo mtu anayefanya kazi nzuri. Kati ya watangazaji wa kipindi cha magazeti star tv na rfa, huyu dada watu wengi wanamkubali. Habagui hbr na anajua ni hbr zipi...
Wasanii wa muziki wa hapa home washinda Tunzo zao kwa mara ya kwanza na nina furaha sana coz ni watu niliokuwa nategemea wapokee tunzo hizo za KTMA,wali deserve so wadau ambao nanyi mnawapenda...
sijapenda kitendo cha barnabas aka baba steve kupewa tuzo ya diamond kisa huruma yani ile tuzo hakusitahili kabisa.tanzania ndio maana hatuendelei.mpeni kijana tuzo ili wengine nao wajifunze na...
hivi karibuni amezikwa msanii nguli ambaye naa mini hakuwa msomi saana, ameishia elimu ya sekondary tu lakini ana mafanikio makubwa. kama wazazi wake wange kuwa ndio wale wa "kitaratibu", natumai...