Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

kuna tetesi mbunge wa jimbo la kawe mh Halima jemes mdee anampango wa kutafuta wakili wa kumsaidia msani Elizabeti michael [Lulu] kwenye kesi ya malehem kanumba. mwenye taalifa kamili...
0 Reactions
154 Replies
17K Views
Nigeria's final court of appeal has ruled that actress Rabi Ismail should be hanged for killing a male friend to acquire his property. The Supreme Court upheld rulings by two lower courts that...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanabodi kuna tetesi kuwa michango ya rambirambi kwa ajili ya msiba wa Marehemu Kanumba imetafunwa na kamati ya mazishi. Kuna habari kwamba zilichangwa pesa kiasi cha shilingi million 51. Kamati...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wanajamvi habari Zenu.. Huyu binti Nakaaya nimemkumbuka baada ya kusikia nyimbo yake ya Mr.Politician.. Kwa kweli ulikuwa ni wimbo mzuri sana kwa wanasiasa wetu.. Hasa hawa wa chama cha.. Mara...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ingeleta mantiki endapo barnaba angechukua tuzo nyingine kumfanya awe mwimbaji bora wa kiume...kwa mfano kuchukua wimbo bora wa mwaka nk...hata hivyo pongezi tuzo zilifana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brad and Angelina to marry No date set yet, but actors Pitt and Jolie declare intention to marry again because of 'pressure from the kids' Angelina Jolie and Brad Pitt, who confirmed...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Barnaba akiwa kwenye usiku wa tunzo za kili. baaada ya kupewa tunzo aliiamua kushusha mistari ya mipasho kwa wale wanaosema Ruge anamwibia na nukuu" shukrani zangu kwa Ruge ulisemwa sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kachero huyo alisema kutokana na taarifa ambazo wanaendelea kuzipata, kuna uwezekano watu wengi zaidi wakahojiwa ili kujiridhisha kabla ya watuhumiwa kuanza kupandishwa kizimbani baada ya...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani siku nyingi sijamuona Ray C akirindima? hivi yuko wapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani magazeti ya udaku tumeshoka kuandika abali za kanumba sio ishu na ii ya leo yakusema kaonekana tabata mmezidi mwasheni watu bado wana majonzi alafu nyie mna andika uongo uo mjue kua watu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapa Tanzania ndani ya miaka 3 tumekumbwa na matatizo mbalimbali kama mafuliko huko Kirosa, mabomu Mbagara, mabomu Gongo la mboto na yote yakipoteza maisha ya Watanzania wenzetu, na pengine...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi ( Isabela a.k.a Vai wa ukweli) amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo...
0 Reactions
46 Replies
21K Views
Ndugu wanajf,msishangae kuona nmeandika kwenye jukwa la siasa,mim namin kwenye huzuni n lazima siasa na vingnevo 2vweje pemben,muigzaj wa kaole sana group anazikwa sasa kigogo-DAR ES SALAAM
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na Hotuba ya Rais aliyoitoa jana wakati akiwaapisha Wajumbe wa TUME ya kukusanya maoni juu ya katiba ya Nchi, hii inaashiria kelele au hoja zinazoibuliwa na Wapinzani zina nguvu
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Naangalia kipindi cha Mkasi hapa EATV,mtangazaji wake kauzu ile mbaya Salama J namuona analengwa na machozi baada ya kuguswa na masimulizi ya kusikitisha ya Msanii wa bongofleva Albino Flani..ndio...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Jamani wana JF poleni kwa kazi ya kutafuta DINARI, Nipo janvini kuomba kusaidiwa swala hili hivi ukifuta text kwenye simu inaenda wapi? Naomba maelezo ya kina! Asanteni!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
4 Reactions
170 Replies
35K Views
Wanajamvi......nimeumia sana juu ya msiba uliopita na nasikia mengi kuhusu huo msiba lakini hayatabadili kitu sasa hivi The great is gone jamani....sasa kwa hawa waliobaki nimethibitishiwa na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
nimevumilia nimechoka hiv ray na kanumba hamuoni au kuiga mifano ya filamu za nje kwa sababu utakuta STORY kanumba SCRIPT kanumba DIRECTOR kanumba EXECUTIVE PRODUCER kanumba hivi katika hali ya...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
habarini wakuu wa jamvi, pande za kinzana,pande za shahabiana ningali katika tathimini inayohitaji msaada wa kifikra huku nikipitia vyombo mbali mbali vya habari vilivyondani ya uwezo wangu juu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…