Baada ya pambano la jana kati ya Fadhili Majiha na Bongani Mahlangu kumalizika kwa utata baada ya pambano kuchezwa kwa raundi 10 tofauti na raundi 12 kama mabondia walivyosaini.
Kikawaida...
Mwanamuziki mkongwe Mohamed Mwinjuma (MAZINGAZINGA) baba yake mzazi na Khamis Mwinjuma (MWANAFA) baada ya kukataliwa na mwanae na kukosa msaada kabisa ameamua kujikita zaidi kwenye muziki na...
Tangu mwaka 2006 aliposhiriki mashindano ya Miss Tanzania, Umri wa Wema Sepetu ni kama ulisimama, haukuwahi kusonga mbele. Kwanini? Yeye kila akiulizwa anasema ana miaka 26 na hakuwahi kuvuka hapo...
Tusipoteze Muda Twende Moja Kwenye Moja Kwenye Majina Yao
1. Abigail Chams - Kazaliwa May 7, 2003
Label : Rockstar Africa
2. Yammi - Kazaliwa May 12, 2002
Label : The African Princess
3. Bruce...
Kwanza natanguliza hoja kwamba sina chuki yoyote na huyo jamaa kwa sababu hata silijui lolote linalomhusu bali pia nampongeza kwa kuhamasisha morali ya wachezaji wa Taifa Stars kwa kuhudhuria...
Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni...
Huyu dogo mpopo Ruger kutoka kwa wapopo huko Naija ni wamoto sana.
Nimekuwa mfuatiliaji wa mangoma ya wapopo kwa muda sasa wacha niseme huyu yanki ana toa mikwaju ya moto sana.
Toka kwa mkwaju...
Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano...
Binafsi zaidi ya mara Tano ( 5 ) au Saba ( 7 ) nilimsikia na kumuona mara kwa mara alipokuwa akihojiwa akisema kuwa hatokuja Kuvaa Viatu kamwe na kwamba sehemu zote atakazokuwa anaenda au...
Sijui ni uchawa au kujitoa akili.
Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi
Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya...
Msanii wa nyimbo za injilj Ambwene Mwasongwe ameweza kupata mtoto wa kike baada ya kukosa mtoto katika ndoa yake tangu mwaka 2017.
Hicho ndo alichokiandika leo kwenye mitandao yake ya kijamii...
Kuna kitu special kilichopo ndani ya huyu mdada. Despite na uigizaji na uandaji mbovu wa filamu bongo lakini unapokutana na huyu mtu hata kama umekosea chaneli lazima utafurahishwa na uigizaji wake.
Kipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele.
Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti.
Video yake kama basata...
Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka...
Ndondi ni moja ya mchezo bora sana ila hatari katika orodha ya michezo duniani, ni mchezo ambao mabondia hutoka na fedha nyingi sana iwe amepigwa au ameshinda inategemea mkataba wake upo vipi, ila...
Kamwene, jamani tuseme ukweli hii couple ya mwanadada Irene Uwoya na Kayumba kiukweli hata hainogi yani bora hata kipindi kile yupo na janjaro kidogo ila kwa hapa amezidi kupotea kwa kweli.
Hivi...
Dodi (mtoto wa aliyekua Mmiliki wa Fulham FC) ndie alimvalisha Pete ya uchumba princess Diana Ila bahati mbaya hawakufikia ndoa. Laiti Leo hii Princess angekuwa hai basi Mfalme (ajae) wa...