Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo. Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara...
14 Reactions
77 Replies
3K Views
Kwa clip Moja nimeona yule msanii rayvanny akionesha ujenzi wa swimming pool kwa ajili ya tamasha kama walivo kawaida Yao. Sasa kamchukua fundi maiko na ghalama za kuongeza sifuri imetumika...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hawa mabwenyenye wa media Tanzania kwa muda mrefu sana walizoea kuishi kwa mazoea, waliishi kwa kujipendekeza kwa serikali ya ccm na ndivyo wanavyoishi mpaka Leo Mara nyingi hawa mabwenyenye...
10 Reactions
68 Replies
11K Views
Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye LET IT BE, Kuna line SONGA anachana anasema ''Sele atabaki afande mfalme Hashimu Dogo'' Kweli Hashim Dogo unaweza kumuweka mzani mmoja na AFANDE SELE? Au SONGA Alimaanisha nini???
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wadau. Nimekumbuka Dar ya miaka ya 90s. Vijana waliokuwa wanatamba mjini ni wale wa kishua. Watoto wa o bey, upanga, mikocheni ndio walikuwa habari ya mjini. Viwanja kama bills...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Anaandika mwakipesile mbarikiwa Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Jana Obama na Michelle wametimiza miaka 30 ya kuwa pamoja. Pamoja na kutimiza umri huo hamna hata siku moja ambayo Michelle alimuomba Obama hela akanunue gesi achilia mbali luku, vocha, hela ya...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva. Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye. Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu. Tamasha la kiingilio kikubwa hapa...
21 Reactions
85 Replies
8K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Nyota Wa Muziki wa Barani Afrika, Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz! Mwanamuziki huyu anatimiza Miaka 34, akiwa na Mafanikio ya Nyimbo Nyingi zinazoingia katika...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna shaka kwamba msanii nguli wa nyimbo za injili, Rose Muhando, ndiye malkia na gwiji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki na Kati. Msaanii huyu alianza kuvuma kwa muda mrefu sana na kiwango...
10 Reactions
41 Replies
8K Views
Star Wars actor John Boyega slams racist white people and police brutality in America
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau. Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby. Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby. Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira...
39 Reactions
51 Replies
5K Views
Kama wewe ni msanii ama muigizaji na unataka kuwa maarufu basi hakikisha unadate na mtu na kapo yenu iwe public. Yani ijulikane na jamii. Nakwambia utakuw staa mkubwa mpaka utashangaa mwenyewe...
2 Reactions
6 Replies
868 Views
Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane "Keffe D" Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa Tupac Shakur aliyepigwa risasi katika mitaa ya Las Vegas. Licha ya...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Mbwiga wa Mbwiguke mdomo mwingi lakini uwezo wake wa kuandika upo chini sana. Yeye kama mtu maarufu, inabidi atafute mtu wa kumuandikia huko mitandaoni.
15 Reactions
38 Replies
3K Views
https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Baruti ni kijana anayekuja kwa kasi katika sanaa nzima ya muziki nchini. Hamasa aliyokuwa nayo katika kufikia malengo yake imefanya vijana wengine mitaani kupambana zaidi na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…