Ni baada ya kufanikiwa kuvuka hatua ya Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ya ambapo sasa watashindana na Washiriki wengine ambao ni The 82nd Airborn Division All American Chorus...
Mtanange huu unawakutanisha warembo hawa ambao wametikisa mziki wa U.S.A na duniani kwa ujumla.
Hapa tunatazama ni msanii gani anapaswa kupewa taji la malkia wa mziki kwa ukali wa ngoma...
Msanii wa vichekesho toka Cheka Tu ajulikanae kwa jina la Boss Martha afariki dunia. Martha amefariki Asubuhi ya leo baada ya kuugua ghafla kwa kipindi kifupi. Inaelezwa kuwa alikuwa akiugua uti...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili. I hope mko njema kabisa hapo.
Mimi ni mmoja kati ya raia ambao nafuatilia sana aina mbalimbali za muziki duniani. Nafuatilia Bongo Fleva, Hiphop, Afro Beat...
Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizugumzia kauli ya Harmonize akilinnganisha na mahojiano aliyoyafanya Ibraah na SNS kuhusu kutokulipwa ndani ya miezi 6 ambapo ilipelekea...
Huyu bwana mdogo ambae ni marehemu kwa sasa amefariki mwezi huu wa tisa. Nimejaribu kufuatilia chanzo Cha kifo ila sikupata muafaka naona tu waigizaji mchwara walikuwa wakimficha mama yake kifo...
Achana na ile kirikuu yake [emoji3][emoji3], jamaa kwanza nampongeza kwa ule uthubutu.
Clouds wana bahati sana ya kuwa na mtu aina ya KP hasa kwenye kile kipindi chao cha ‘powerbreakfast’.
Huyu...
Miaka kadhaa iliyopita, kwa mara ya kwanza Tanzania ilipata mwakilishi kwenye ligi bora ya kikapu duniani; NBA kupitia Hasheem Thabeet. Wapenda michezo na maendeleo kwa ujumla walifurahia...
Msanii maarufu wa kimarekani, Celine Dion ameahirisha shoo zake zote kwa mwaka 2023-24 akisema hayuko imara vya kutosha kutokana na ugonjwa unaomkabili kwenye mfumo wa neva.
"Nimekuwa...
Nipo hapa makumbusho anapiga show na band yake ya Bogos Musica!! Kuna wazungu wamejaa hapo mbele then anawapongeza wazungu kwa kucheza mziki wake then anasema “nyie waswahili mmekaa tu hata...
KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.
Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja...
Wafuatao ni watangazaji wa Radio Free Africa (RFA). Nilikuwa shabiki mkubwa wa RFA kwa maana ilijitahidi kuziba mapungufu ya RTD! Sasa hivi sera za radio hii zimebadilika sana na kukosa mwelekeo...
Vicky Kamata Afunga Ndoa na Dk. Likwelile
Dk Servacius Likwelile.
Dar es Salaam, Geita-Tanzania. Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu...
Sina Maneno meengi
Mkiambiwa huwa HAMSIKIII..
=====
Mtu yeyote atakaekuja kuniskia nasema nampenda mwanamke yeyote basi mtu uyo kama nipo naye karibu yani uso kwa uso basi naruhusu anipige ata...
Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm.
Nini maoni...
Habari.
Kwanini mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa
1. Hafungishi ndoa?
2. Hafanyi ibada ya mazishi?
3. Hasaidii watu wenye shida maalum kanisani mwake hasa za kifedha?
Sijawahi jaribu kufuatilia historia ya maisha yake, lakini nilisikia eti alikufa kwa kufungiwa chumbani kwa siku 12,
Mke wake siku ya 8 harufu ndani ikazidi na alipofungua mlango akakutana na...
Rapa na muimbaji wa Marekani Desiigner yupo kwenye kifungo cha nje na uangalizi kwa miaka miwili, kufanya kazi za kijamii na kulipa faini ya Tsh Milioni 12,525,000 kwa kosa la kujichua...