Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Amesema mwenyewe; "Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120]. Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile. Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Huyu mwamba amepotea sana katika ulingo wa musik, Namis sana song zake hasa "Tubonge" na "Badilisha" Aliko mwambien Funs wake tumemmis kinyamaa yaan
8 Reactions
49 Replies
6K Views
Lovebite aachia another hitsong TAJIRI. Ambayo inasumbua sana mtaani na kwenye platforms mbalimbali. Amerudi kwa kasi ya 4g.
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A...
15 Reactions
50 Replies
9K Views
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?. Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda...
17 Reactions
69 Replies
9K Views
Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo huenda usiyoyajua kuhusu 2Pac: Jina lake kamili: Jina kamili la 2Pac ni Tupac Amaru Shakur. Alipewa jina hilo kutokana na jina la kiongozi wa uhuru wa Amerika...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa...
13 Reactions
87 Replies
15K Views
Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai. Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno kwenye sayari hii ya dunia. Kwa sasa vijana wetu wanapenyeza na...
0 Reactions
32 Replies
40K Views
Tuzo za TMA zimejaa aibu kubwa sana, uendeshaji wake unawashangaza hata waanzilishaji wa Tuzo Duniani. Tuzo za sanaa huwa zinadhaminiwa na watu wanaohusika na sanaa tu na sii vinginevyo. Grammy...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Hivi kwa sasa kuna msanii yupo juu kuliko Marioo? Sasa hivi hata nyimbo anazoshirikishwa zina sound kama za kwake. Mfano; Baby nakuja Ananipenda NB: Fall ya Nandy naiona itakua poa zaidi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Picha: Adam Mchomvu Baada ya lile sakata la kumpiga msanii Q Chila, ni karibu mwezi mmoja sasa sauti ya Adam Mchomvu haijapata kusikika kwenye kipindi cha XXL pale Clouds FM. Je, amekula ban...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani. Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa...
8 Reactions
92 Replies
6K Views
Ukijua kuna levels kwenye ufisadi hawa jamaa kwenye kujitofautisha na wale mafisadi wetu wao wamekuja na hizi chuma, viete wanaona kama uchafu. Tuendelee kulima matembele.
5 Reactions
82 Replies
8K Views
Harmonize aliondoka kwa Milioni 500 Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500 Zuchu bilioni 5. Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii ndio top 3 yangu ya greateast rapper of all time hapa Bongo. 1. Albert Mangwair 2. Professor Jay 3. Jay Moe Nipe ya kwako mdau... [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Wanabodi, JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye...
22 Reactions
29 Replies
6K Views
Diamond platnumz ameendelea kudhihirisha ukubwa wake baada ya kuchaguliwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la Music nchini Malawi . Diamond amechaguliwa baada wananchi wengi kupendekeza . Sand...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Shamba la Erlιng Haɑland, limejaa wanyama wenye maumbo ya ajabu, huyu ni ng'ombe mwenye vichwa viwili.
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…