Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46. Cheni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’. Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa...
22 Reactions
62 Replies
4K Views
habarini Kutoka vyanzo visivyo rasmi nasikia Dallas sahiv anaishi kwa kuomba omba samaki kwenye fukwe za ununio.. Ikumbukwe kuwa alimuhonga wolper BMW X6, plus 39 million Tshs (hapo bado...
1 Reactions
77 Replies
24K Views
Waswahili wanasema mwanakulitafuta mwanakulipata. Baada ya kusikia kwamba Mbosso anaachia EP yake siku ya Ijumaa tarehe 28, October. Basi kama kawaida mzee wa kuvizia upepo ili abaki kuwa...
12 Reactions
89 Replies
10K Views
Mwanamitindo wa kike maarufu nchini Israeli YAEN COHEL miaka 25 ameilalamikia kampuni Moja ya kichina iliyozalisha midoli ya ngono yenye kufanana sura,umbo na kila kitu na yeye uku akiishutumu...
6 Reactions
141 Replies
11K Views
Uumbaji wa Mungu ni binadamu kupitia madaraja kadhaa ya maisha kabla ya kidogo. Utopia, ujanani na uzee ni madaraja tunayopitia binadamu. Wengine hufariki wakiwa watoto, vijana na kuna...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
NI KISASI AU CHUKI...? "Tulisikia yowe kisha kishindo kikubwa, duuuuf. Baada ya hapo ilisikika sauti ya mwanaume ikipayuka." Ndivyo mashahidi walivyolielezea tukio la kifo cha Anele 'Nelli'...
5 Reactions
8 Replies
998 Views
Teddy Pendergrass 59, Marvin Gaye 44, Luther Vandross 54, Barry White 58. Legends, Gone too soon.
7 Reactions
11 Replies
864 Views
Nimeitazama nikakumbuka enzi hizo alivyokuwa anapendwa sana. USSR
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara...
14 Reactions
120 Replies
12K Views
Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI. Baba wa Nelli Tembe Ni mtu...
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Mimi nikiwa kama mdau wa viwanja vya starehe vya usiku, nimekuwa nikikutana na supastaa wa Tanzania, Hasheem Thabeet, ambaye anacheza mpira wa kikapu wa kulipwa huko Marekani. Wadau wa Arusha...
4 Reactions
49 Replies
15K Views
Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka...
6 Reactions
210 Replies
54K Views
Hongera sana kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kufanikisha jambo kubwa la kutoa mikopo kwa Wasanii wa Tanzania. Ni jambo la kumpongeza Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all...
17 Reactions
156 Replies
47K Views
[emoji3516] Mwaka2002 Mwisho Mwampamba wa Moro alikua mtanzania wa kwanza kushinda shindano la Big Brother Afrika kule kwa Madiba na aliporudi kwetu Morogoro akafanyiwa mapokezi makubwa ya...
25 Reactions
45 Replies
3K Views
Nafikiri ni nature tu vitu viwili vinavyovyutana huvuma saana Kanumba na Ray Kigosi walivuma saana kwenye bongo movie, sio kwa sababu walikuwa bora saana ila ushindani uliokwepo, Mwenyezi Mungu...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
wasomi wote wa Cuba tuonane hapa Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni salute kwa wasomi wa CUBA .
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wapenzi wa muziki mzuri Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…