Kwa wapenzi wa Mchiriku/Mnanda jina la Division Haji litakuwa sio geni sana haswa kwa ukanda wa Temeke, ni mpiga ngoma hodari hakika ukihudhuria show zake lazima uburudike na ufurahi kwa ufundi na...
Hakuna ubishi Msanii Harmonize au kama anavyojiita Konde boy ni msanii mkubwa si kwa Tanzania tu pamoja na mataifa yote ya Afrika. Ukichukua wasanii 3 Wakubwa na bora Tanzania basi bila shaka...
Ushamba wenu na majikwezo yaishie Afrika tena siyo nchi za Kiarabu kwa wafia dini. Muwe mnasoma mazingira ya nchi unayoenda kama watu wakubwa na pesa zao wamezuiliwa kutumia vilevi na kutangaza...
Najua kuna baadhi ya watu ukitoa sifa kwa mtu hawapendi Mara utasikia umekuja kujipigia promo humu lakini tuwe wakweli this man called Meja kunta ameleta mapinduzi kiasi kikubwa kwenye singeli...
Mkali wa RNB R. Kelly kaachia album yake ya kwanza akiwa gerezani.
Jina la album linakwenda kwa jina la I ADMIT IT, kwa lugha yetu ni NIMEKUBALI.
Ndani ya album iyo jamaa kakubali kutoka...
Habari za mida,
Watu wengi duniani hutumia pombe kwa sababu mbalimbali zikiwemo kulewa, burudani, kuongeza uwezo wa kujichanganya na watu, kusahau matatizo na hisia hasi, kusherehekea, kuburudika...
"Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/
Bado Wanaitafuta Pimajoto/
Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/
Wanasayansi Tumelala Maabara/...
Nasikiliza huu ujio mpya wa Mwana FA ft Harmonize.
Kweli Mwana FA ni Jay Z tulienae. Punchline[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Harmonize ametoa wimbo unaohamasisha matumizi ya bange lakini cha ajabu mpaka sasa serikali bado haijamchukulia hatua zozote za kinidhamu.
Huyu jamaa ulimbukeni na ushamba vinampeleka puta sana...
Nauliza kwa wale wapenzi wa action movies je kuna sehemu mmewahi kumuona huyo martial artist amevua shati?
The same apply kwa Salman Khan nae sijui kama wenzangu mmewahi kumuona akimaliza muvi...
Mnyetishaji wetu ametupa taarifa za ndani hali sio shwari ndani ya himaya ya konde Gang.
Hii ni baada ya mapenzi motomoto ya boss wa lebo hiyo na mpenzi wake Kajala penzi lao kuingiliwa na ruba...
Kwa wenye kuweza watch EATV now!,
Mhe. January Makamba yuko live kwenye kipindi cha Mikasi kinachoendeshwa na Salama Jabir!.
Please watch it!, Salama is dam good!.
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule rapa mtata kunako game anyeongoza kujaza viwanja vikubwa ndan ya africa na nje ya africa casper nyovest ndo...
Madam Rita kupitia kipindi Cha Salama Na amafunguka mahusiano yake na Mzee Reginald Mengi.
Akimuelezea Mzee Mengi Madam Rita amesema hakuna aliyewahi kumpenda na kumuonesha upendo kama Reginald...
Hawa vijana wanajiingiza kwenye maisha ya ushetanini. Kama ushetanini siyo Kiswahili basi tutajua, huwezi ukatoka nje na kipichu tu.
Hata kama unakasoro mwilini ni siri ya ndani. Hata kama...
Boss wa Kondegang Music Worldwide @harmonize_tz ametangaza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa wasanii watakaotaka kufanya naye Collabo huku sharti lake ngoma iwe kali tu.
"Naanza kuchaji Tsh Milioni...