Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani naomba profile ya huyu dada a ana naona yuko kila engo. Profession yake na elimu yake. Je ana mume au watoto na kama hana je nianze process?
14 Reactions
176 Replies
69K Views
Unajua kwenye nchi hii kuna mambo yanachekesha na wakati huo huo ni kama yanadhalilisha sana. Steve Nyerere, msanii wa vichekesho na bingwa wa kulia misibani, AMEPEWA NA NANI MAMLAKA YA KUISEMEA...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
STAA wa Bongo anayetesa kwenye mitindo, Jacqueline Patrick anakabiliwa na msala wa kumtwanga na chupa nusu kumuua mrembo anayejulikana kwa jina la Hafsa Sasya, Habari zilizopenyezwa na chanzo...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani kuna watu kama MKUDE SIMBA, BWAKILA, naishia kuwasikia kwenye audio peke yake nahitaji niwafahamu ikiwezekana kwa picha zao na majina yao halisi yakijumuishwa na majina ya uigizaji...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Marioo toto bad, G wagon Young Lunya mbuzi, Range Rover
9 Reactions
51 Replies
10K Views
Kim Kardashian hatimaye ametalakiana rasmi na mume wake YE aliyejulikana kama Kanye West baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka minane. Katika uamuzi wa mahakama uliotolewa kupitia njia ya video...
2 Reactions
4 Replies
937 Views
Hello JF Kila mtu ali anticipate itakua show kubwa....sijui kwa ajili ya promotion/uncertainity ya uchumba kati ya Zuchu na Diamond, tukabaki macho kodooo kusubiria hii show... ilikua nzuri...
16 Reactions
69 Replies
7K Views
Bruce Forsyth tragically died in 2017 - and it's reported none of his kids inherited anything from his will following his death Sir Bruce Forsyth died in 2017 at the age of 89 - and today would...
1 Reactions
3 Replies
832 Views
2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata...
13 Reactions
62 Replies
6K Views
Adai anaishi kwa stress baada ya kutelekezwa. ========= The wife of Tanzanian Superstar Ali Kiba has filed for divorce in Mombasa Kadhi's court after three years of marriage. Amina Khalef wants...
8 Reactions
277 Replies
24K Views
King of All Social Media Bongo! William Malecela na ndugu wa Karibu wa aliyefariki nje ya nchi kwa Saratani Dr. Mwele Malecela, ameshindwa Kufika nyumbani Mvumi kwa kile alicho Dai Afya yake...
16 Reactions
165 Replies
21K Views
Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza...
5 Reactions
158 Replies
12K Views
Anaitwa Jo won amezaliwa mwaka 1987 amecheza series Kama Yong pal, bridal mask, my sasy girl na nyingine nyingi.wakorea huwaambii kitu kuhusu huyu jamaa. Wakorea wenyewe wanaamini ndo actor mwenye...
8 Reactions
87 Replies
13K Views
Huyu mtangazaji ni mzuri sana lakini dah.. hii sauti yake ya kukwaruza ni shida kwa kweli. Huwa najiuliza kama kuna kitu anatumia kinachosababisha sauti itoke namna ile au ndiyo maumbile yake?
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Habarini. Nilikua naomba kujuzwa mwenye kujua mikataba ya wasanii kutoka Konde gang katika utoaji wa nyimbo wanafata utaratibu gani? Binafsi namkubali Ibraah na Killy Wana muda mrefu hawajatoa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Umofia Kwenu wana Jamiiforums Katika hali iliyoshangaza wengi, beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi...
4 Reactions
192 Replies
38K Views
Hii imekaaje? Hili ni swali ambalo mwanangu huyu mdogo kaniuliza, kwa muda nimekuwa nikimsimulia kuhusu HipHop na kumwaminisha kuwa ni muziki wa maisha halisi na mara nyingi huhimiza upendo...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Msanii nambari moko katika ukanda wa Africa Mashariki Diamond Platinumz A.K.A chibu Dangotee A.K.A Simbaa ametangaza kuachia EP yake ya kwanza kbsa toka ameanza safari yake ya muziki. Kupitia...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…