“I QUIT THE GAME SITAKI TENA MZIKI. F** THIS GAME” Ndiyo ambavyo Prodyuza Yogo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kisha pembeni yake kwenye caption akaongezea kwa kuandika “Too Much...
Akiwa katika Kofia ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Fid Q ametolea ufafanuzi suala la kutokuwepo Vipengele vya muziki wa Injini katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA akieleza sababu...
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti ...
Nimesoma hii stori nikajikuta naanza kucheka mwenyewe, Sugu ban ani mbishi na mtata sana.
-----------------
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewajibu waliomdhihaki kwenye...
Bob Marley dated Pascaline Bongo Ondimba. Pascaline is the daughter of Omar Bongo, the former president of Gabon. Omar ran Gabon as an oppressive dictator and he remained in power until his death...
Miongoni mwa Wasanii wa bongo hip-hop ambao wamesimama kwenye misingi waliyoanza nayo katika content na style ni hao niliowataja pia NIKI MBISHI. Kwa maana nyingine wanaamini kile wanachokifanya...
Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka...
Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki...
Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo...
Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili.
Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva...
Stori: Waandishi Wetu
YAMETIMIA! Ni kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu aliyesifika kwa kumwaga fedha kila kukicha ameanza kufilisiwa, Ijumaa...
Habarini Wadau,
Kuanzia mwaka 2000 nilianza kumsikiliza Sugu au Mr II aliyekuwa akiitwa 2 proud zamani, ila kiukweli namtofautisha sana na Professor J katika kazi zao.
Mfano mzuri ni "Bongo Dar...
Japo mpaka sasa jamaa bado yumo ndani ya futi 6, ila si mbaya kama tutajikumbushia baadhi ya Diss line zake kwa wasamalia wema/yani watu wasiohusika na Muziki.
Kwenye 'Over n Over' Jamaa alinena...
Baada ya ukimya wa siku kadhaaa, taarifa kutoka kwa watu wa karibu na msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ni kuwa anaendelea vizuri kiafya tofauti na ilivyokuwa wiki iliyopita...
Huyu bwana wa kuiga iga hakimpiti kitu 😂 ati na yeye ameamua kudunduliza vindevu vyake ili awe kama Rick Ross ( rich forever). Basi kwa vile anafuga vindevu mda si mrefu ataanza kujitangaza amekua...
Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views...
Staa mkongwe wa muziki kutoka DR Congo, Jenerali Defao baada ya kutosikika kwa muda mrefu ameonekana huko Kenya, akiwa na muonekano tofauti na alivyozoeleka kutokana na kupungua mwili kwa kiasi...
Msanii wa Bongo Flavour nchini Tanzania, Diamond Platnumz ameweka rekodi nyingine baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kutumbuiza katika jukwaa la mfululizo wa vipindi GLobal Spin...
Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya...