Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu? nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu. na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
3 Reactions
29 Replies
5K Views
How do you find it guys!!? Mi binafsi nakubaliiii. Haappy New yearrr to u alll. Love U === Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza. Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo? Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Mtumishi wa Mungu anaitwa Prophet Bushiri ni wa Malawi ana kanisa South Africa. Prophet Bushiri ni Mwanzilishi wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering Church (ECG) na the Shepherd Bushiri...
6 Reactions
214 Replies
40K Views
Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi...
9 Reactions
90 Replies
10K Views
Naam,hayawi hayawi yaweza kuwa. Katika suala la mshikamano katika jambo Fulani basi tofauti huwekwa pembeni na kuungana pamoja kutekeleza Hilo jambo kilolo mbele yenu. Tangu taarifa za kuumwa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
. By Sangu Joseph . Ebwana ni siku nyingine tena, natimiza ahadi niliyoitoa kwenye Andiko langu lililopita () juu ya maoni yangu namna ambavyo Boss Majizzo huenda akaitumia silaha yake mpya ndani...
1 Reactions
55 Replies
9K Views
picha ya mwisho alikuwa hivi etiii
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Napendekeza wadau wa sanaa pamoja na familia ya Professor Jay wakae chini waandae tamasha la kukusanya pesa za kusaidia matibabu ya Professor. Jay sio tu ni msanii mkali lakini pia anaishi vizuri...
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Joseph Haule (born December 29, 1975), popularly known by his stage name Professor Jay, is a Tanzanian rapper, songwriter, politician and former member of the Tanzanian parliament for Mikumi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ila anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class, A-List super star hadi kuangukia pua, Wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jamani? Like seriously? Ina maana hata Hamisa Mobetto kampiku...
10 Reactions
131 Replies
21K Views
Muigizaji wa filamu za pono kugombea urais. Majina ambayo wengi hufahamu anaitwa Rocco Siffredi, lakini kwa majina halisi aliyopewa na wazazi wake anaitwa Rocco Antonio Tano, ni raia nchini Italy...
4 Reactions
37 Replies
5K Views
yaani mi nikiusikiliza huu wimbo wake unaoitwa 'simne', NACHOKA KABISA. Yuko wapi jamani huyu mwanadada machachali?!!!
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Prof J ni moja ya watu maarufu kwa Level zetu za Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani kwa zaidi ya miaka 11 Lakini bado napenda kusikiliza Radio especially Clouds na Leo nimeskia kuwa Prof...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli! Je, Mo ni laghai?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Heri ya Chrismas na Mwaka Mpya! Nianze kwa kusema mimi siyo shabiki wa Bongo flavour napendelea sana Hip Hop na Jazz lakini hapa acha nitoe hii tathimini yangu kwenye Bongo Flavour kwa mwaka 2021...
4 Reactions
118 Replies
12K Views
Nikiwa nime chili knich knach maghetoni baada ya kumaliza mbanga za kuuza chai nyuma ya mic, nikawa naorodhesha baadhi ya Machalii waliofanya poa laana kunako mwaka 2018 fiade ya Bongofleva, List...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea...
5 Reactions
18 Replies
6K Views
Kama tungekua nchi za wenzetu tukaanza kuandika kuhusu tattoo na wasanii basi tusingemaliza leo, maana karibia kila msanii ana tattoo na sio moja tu bali zaidi ya moja. Lil Wayne ana zaidi ya...
1 Reactions
42 Replies
24K Views
Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia. Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa...
8 Reactions
128 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…