Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

We remember the hit songs of Phil Collins in 90s, from one more night.
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa. Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi...
40 Reactions
457 Replies
76K Views
Mnamo miaka ya 2000 mziki wa Bongo fleva ulichangamka sana, pia ulichangamshwa kupitia wazalishaji wa muziki (producers) ambao walikuwa na vipaji pamoja na ushindani wa kweli, kuna baadhi ya...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET...
14 Reactions
68 Replies
7K Views
Mimi ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana. Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi mwaka 1988 wakati Mike Tyson anamuajiri Donald Trump kama mshauri wake wa masuala ya kifedha na mipango... Leo "boss" Tyson hana hata nafasi ya kumsalimia...
16 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii ni list ya views za wasanii wa ukanda wa chini ya jangwa la sahara kwa mwaka 2021. Kwa Tanzania ni diamond na rayvanny ndo walioingia top ten
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumbuka ambae pia ni moja ya mtangazaji wa E-fm katika kipindi cha uhondo leo amefunguka na kusema Masha love alimutupia mtoto kipindi akiwa mdogo na umri wa miezi 6 tu. Hayo ameyasema kumbuka leo...
11 Reactions
71 Replies
7K Views
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi. Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba. Nimekuonea huruma...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Denzel amewapata watoto wake wote wanne pamoja na mke wake Paulette Washington, ambae alifunga nae ndoa mwaka 1983. Paulette ni mcheza sinema na aliwahi kucheza movie Wilma
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo...
2 Reactions
97 Replies
15K Views
Ndiyo muite queen vee bosset amezawadiwa mercedes benz pullman na mume wake lenye thamani ya zaidi ya shillingi za kitanzania bilioni 5. Wadada wa humu ndani iwe funzo kwenu na sio kuhongwa...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Jamani Fide amepungua hadi amekwisha. Tatizo sijui ni ugonjwa au ndio diet , watu wamjini mtujuze. We unamwonaje kapendeza au kaharibu? Angalia picha nilizoattach
1 Reactions
191 Replies
62K Views
Salaam wakuu Ni muda mrefu sijamsikia yule reporter wa itv mwenye swaga zake George Malatu mwenye taarifa zake anijuze jooooooooooji maratuuuuuuuuuu aitiviiiiiiiiii maraaaaaaaaaaaaaa
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Tahasisi ya Basata imeamua kurudisha tuzo za wanamziki ambazo kipindi fulani zilishindwa kufanyika kutokana na sababu mbalimbali.Ukiwa mdau mkubwa wa mziki wa Tz unaishauri Basata nini wafanye ili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau na wapenzi wa hip hop kuna habari mpya inayo trend kwa sasa baada ya lile kundi la mziki wa hip hop (Kikosi Kazi) kutangaza battle na kundi au mtu yeyote hatimaye juzi ya tarehe 3 msanii wa...
17 Reactions
341 Replies
28K Views
Mashalove a.k.a The don dada Anafunguka. Msani ambae pia ni muigizaji wa kitanzania anae fahamika kwa jina la masha love Anafunguka Mengi kuhusu Maisha binafsi, Mahusiano na mengine mengi. Masha...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Hvi unadhani Kati ya hawa maproducer wawili Laizer na Abbah Ni Nani ndo mkali wa kutengeneza beats? Binafsi mi namkubali Abbah Process, huyu mwamba Ni hatari Sana yaani midundo yake Ni noma...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimevutiwa na utajiri mkubwa huyu kijana mwenye miaka 31. Amekuwa akiuza maji kabla ya kujiajiri kwa kazi be ya kufunga mziki magari na kuyapimpu.Kazi hii kafanya kwa miaka zaidi ya ishirini...
15 Reactions
138 Replies
18K Views
Kuna watu wanadanganyana wanasema mziki wa bongo haulipi ila kwa wasanii wenye akili na malengo kama bwana Platnumz hapo ameamua kutuprove wrong. Sent using Jamii Forums mobile app
25 Reactions
153 Replies
32K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…