Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini
Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye.
Swali la kujiuliza ni...
Mlimbwende na msanii wa Tanzania Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross.
Akizungumza katika mahojiano na runinga ya NTV nchini Kenya, Msanii...
Nashindwa kuelewa huyu mume wa mama wa mwanamuziki Diamond ana akili gani?
Kila anachokifanya na mke wake anakipost Instagram, anapiga picha na mama yake Diamond za aibu.Mfano kwenye profile ya...
Shalom wapendwa, watumishi wengi wa bongo huenda kuvaa vitenge na wake zao yaani huwa hawapendezi kabisa, ni vyema wakiwaiga hawa watumishi kwa kuvaa mavazi yanayoendana na wakati, Mr & Mrs Carmel...
Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini, kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo. Sitaki kusema ni tabia gani lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani...
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume...
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCRA.
Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na...
Pauline Zongo alipelekwa Sober house ili kwa ajili ya kuachana na madawa ya kulevya.
Lakini Mange Kimambi aneandkika kuwa baada ya kutoka Sober amerudia tena na sasa hali yake ni tia maji tia maji.
Nipende kuchukua nafasi hii kuzisifu na kuzipongeza chanel hizi mbili za television AMC na HBO kwa kutuletea vitu vizuri wapenzi wa series. Ukitaka series kali basi fuatili hizi Chanel mbili...
Are u telling me what I think ur telling me?
Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ?
Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni.
Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa...
Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi
lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan).
Jambo hili liligeuka...
DIAMOND KWA SASA HANA BABA, UKWELI MCHUNGU.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Tahadhari: Makala hii inaweza isimfae kila mtu, kwani lugha iliyotumika humu inaweza kuwa kali na yenye kuumiza kwa...
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita...
Chawa ni wafuasi ng'ombe wa watu wazito wazito wenye kutanguliza maslahi ya matumbo mbele.
Mpanda ngazi hushuka.
Baadhi ya watu hao hukumbuka shuka wakati kunakuwa kumekwisha kucha:
"Ama kwa...
Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.