Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kijana anazidi kuchanja mbuga kwa spidi ya light, anasajili kila siku kama Chelsea. harmonize leo kupitia mkutano na waandishi wa habari amemtangaza msanii mpya ndani ya label yake ya kondegang...
6 Reactions
69 Replies
11K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na...
37 Reactions
275 Replies
19K Views
Pongezi kwako kwa maamuzi hayo ya kuwa mtangazaji bado ni fursa nzuri naomba nikutakie heri na wanaJF tumtakie heri mbunge huyu mstaafu wa Mikumi. -- Clouds kupitia mitandao ya kijamii wameandika...
24 Reactions
120 Replies
14K Views
Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level...
7 Reactions
37 Replies
8K Views
Hatimaye nyota wa bongo fleva Harmonize almaarufu kama Konde Boy mnyama , ameibuka na kuelezea sintofahamu inayomuandama Kwa sasa kufuatia msanii mwenzake Rayvanny kuvujisha mawasiliano yake ya...
4 Reactions
123 Replies
20K Views
Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakat huu leo nilitaka tutoe mawazo yetu kutokana na hali ya kimziki ya cheed benz haswa baada ya kutoka katika uraibu wa madawa ya kulevya Je ameanza kurudi kweny form au bado kuna...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna. Jamaa kila siku alkuwa busy...
16 Reactions
158 Replies
20K Views
ABARI ZA ASUBUHI ? wAKUBWA SHIKAMOONI kama kichwa cha habari kinavyosema kwa muziki wetu barani afrika kuna msanii yeyote anaeweza kumpita huyu mkali kutoka Nigeria anaetamba na miondoko ya...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Natamani angerudi katika gemu, kuna mtu anajua huyu jamaa kafia wapi?
0 Reactions
66 Replies
19K Views
Katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na picha safi yenye mvuto wa kipekee ya bwana yule tuliyeaminishwa "He is such a gentleman " Nami nahitimisha truly he is gentleman.
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Wilder ambaye ni bondia tishio katika heavyweight division almaarufu kama 'Bomb Squad' ametoa kauli hiyo ya kuogofya jana alipokuwa akiongea na vyombo vya habari akiwa kwenye maandalizi ya pambano...
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano. Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna...
13 Reactions
100 Replies
10K Views
Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny ameacha maswali miongoni mwa shabiki zake kwenye mitandao tofauti ya kijamii. Hii ni baada ya kusema kuwa anateseka kwenye chapisho lake la hivi punde ambalo...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna mwamba kutoka Mbeya anaitwa Chikumbalanga. Mwaka wa 2018-2020 ilikuwa boom kwake. Alijizolea umaarufu na akaanza kupata matangazo ya kibiashara. Mabeberu wakambrand, akawa hot mjini. Lkn leo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama hivi habari ni za kweli basi mungu ni mwema, hatimaye bibie Wema amebahatika kupata mtoto. Mwenye picha na mwenye ukweli tujuzane.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021 1. JPM 2. Bakari Mwakapachu 3. Prof Mathew Luhanga 4. Zakaria Hanspope 5. Asas 6. Haruni Zakaria...
4 Reactions
133 Replies
12K Views
Nyumba ya mama yake ya kijijini kwao Muheza ndio chanzo cha Madongo , wadai ni duni kuliko bata alizokuwa anakula DSM . Hii ni baada ya wasanii wengi kuhudhuria mazishi ya mama yake aliyefariki...
15 Reactions
87 Replies
9K Views
Michael anatajwa kuwa moja kati ya watumbuizaji bora zaidi kuwahi kutokea hapa duniani,lakini pia watu wengi humfahamu kama mwanamuziki aliyekuwa na visa vingi zaidi duniani. Moja kati ya sifa...
17 Reactions
63 Replies
14K Views
Back
Top Bottom