Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha amemuombea mabaya Mchungaji Ambikile Mwasapile anayetoa tiba ya magonjwa sugu katika eneo la Samunge, Loliondo kwamba anapaswa kulaaniwa hadi...
Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k
Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
Vijana walikua wanavaa masuruali makubwa makubwa kama mifuko ya mashineni 😁🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna kitu cha kujifunza, wasanii wakubwa wa mbele wanaimba nyimbo zinazo survive decades, nyimbo kama hii ni ya...
habari ndugu.
Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana,
Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain...
Wadau
Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia...
Mama Mzazi wa Luludiva amefariki.
Mama Mzazi wa mwanamziki (Msanii wa Bongo fleva) Luludiva amefariki dunia desemba 19, 2021.
Kwa mujibu wa Lulu diva alisema mama yake aliugua kwa muda mrefu na...
Nikiri wazi mimi ni mmoja wa watu wanaompenda na kumfuatilia kwa karibu sana muimbaji wa Injili Paul Clement,
Toka enzi zile akiwa na glorious mpaka sasa akiwa solo artist..
Kwa hakika kijana...
Msanii wa Bongo Fleva Lulu Diva amesema hajawahi kuhongwa, wala kujihusisha na kimapenzi na mtu ajipatike kipato, ila amesema hawezi kuwa na mwanaume ambaye hawezi kumuhudumia.
Lulu Diva ametoa...
Jana ilikuwa ni Siku ya Furaha Nchi Gambia, Ikiwa ni Maadhimisho ya Kumbukumbu Ya Siku waliyo Pata Uhuru Nchini Gambia.
Kwa Kutambua Ukuwa wa Msanii Diamond, Serikali Ya Gambia Iliamua Kumualika...
Baada ya mkali wa bongofleva Africa na duniani kwa ujumla kuachia ngoma ambayo ilionekana kupondwa Sana na wadau wa muziki hapa mjini Tanzania.
Lakini usichokijua ni kwamba ngoma hi # UNACHEZAJE#...
Star wa muziki kutoka nchini Guine Grand P amuonya mwanaume ambaye anashutumiwa kuwa na ukaribu na mpenzi wake
Grand P alinukuliwa akisema kuwa "Kaka yangu Roga Roga nina kuheshimu sana na...
Aliyekuwa producer wa kundi maarufu la Mambo poa,Castrol Ponella. Ametoka jela miezi 5 iliyopita kwa msamaha wa rais,toka 2004 hadi mwaka huu.
Alipelekwa jela kwa kumchoma kisu mwanamuziki Steve...
Kutana na Juliana Shonza kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.
Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.
Hongera dada.
NB...
The 28-year-old, whose real name was Darrell Caldwell, had been scheduled to perform at the Once Upon a Time in LA festival on Saturday night.
His publicist confirmed his death to several US media...
A.k.a
Field marshal,
Sauti ya umeme,
Toka NYC beibi.
Mzee wa Noah
Mzee wa mabebez.
Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe.
Mpk leo kimyaaa.
Alikua mwenzetu...
Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa tamasha la Afro Vasha nchini Kenya, huku wasanii kutoka Tanzania Alikiba na Harmonize wakiwa kwenye orodha ya wasanii watakotumbuiza siku ya tarehe 11 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.