Wamaasai wanaotengeneza umashuhuri kwa kasi sana Ulimwenguni, lakini hapa Bongo kama watu hawana habari nao kabisa,
Wanaweza kutoboa kimaisha mambo yakiendelea kama yalivo, ila huyu kijana...
WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music...
Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k.
Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi...
Wimbo ulio Bora 3 :4
Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi; Nikamshika nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani kwake aliyenizaa.
Pastor Lucy...
Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi.
Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
Emsley "Baba T" Smith
Picha: Ukurasa wake wa Facebook
Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja...
Msanii wa Injili na Hit Maker wa 'Utamu wa Yesu' Rose Muhando anasema anaomba apate mume mzungu mwenye pesa.
Rose Muhando ameshea hilo kwenye Instagram yake akiipa promo wimbo wake mpya huku...
Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa...
Mwanamuziki nyota wa Uganda Jose Chameleone ametoa maagizo ya wazi jinsi atakavyozikwa kifo kitakapomjia.
Chameleone haogopi kifo hata kidogo, ikiwa kuna chochote, angependa kufaidika na kifo...
Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51.
Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey...
Rayvanny ni moja ya wasanii wa Bongo Fleva wanaokuwa wanafanya vizuri sana kwenye kiwanda chetu cha muziki.
Nakung'ata sikio Ray muziki unaoimba sasahivi unakupoteza, umetoa nyimbo zaidi ya tano...
Mwanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo François Lulendo Matumona, maarufu General Defao amezikwa leo Jumamosi katika mazishi ya kitaifa.
Defao alifariki mwezi Disemba mwaka jana katika...
Muigizaji mkongwe na gavana wa zamani wa California, Arnold Schwarzenegger mwenye umri wa miaka 75 amepata ajali jijini Los Angeles.
Mmoja akijeruhiwa lakini Schwarzenegger alitoka akiwa na...
Je, ni kwamba hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond Plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu kuna nyimbo nyingi kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka...
arehe kama ya leo mwaka 1968, ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa mwanasiasa na mwanasheria nguli Mheshimiwa mbunge Tundu Antiphas Lissu.
Nitumie nafasi hii kumtakia miaka 100 zaidi na kila la...
Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu.
(Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu!
Unapoanza mwaka wako wa 54...
Leo nimecheka wanazengo nikabaki tu namuonea huruma huyo mtoto aliyezaliwa na Masha na Kumbuka kama ni kweli.
Hivi hawa ni kweli au ndio kutafutia Kiki mjini , lol... Ila nakumbuka kipindi cha...
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana.
Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo...
Steve Nyerere amedai kuwa kupigania Bongo movie dhidi ya maharamia wa filamu feki ni batili na za kujitafutia umaarufu kwa kuwa hilo ni suala la kitaifa linalotakiwa kuratibiwa nchi nzima na wakuu...