Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye. Swali la kujiuliza ni...
9 Reactions
65 Replies
7K Views
Mlimbwende na msanii wa Tanzania Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na Rapa wa Marekani Rick Ross. Akizungumza katika mahojiano na runinga ya NTV nchini Kenya, Msanii...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa huyu mume wa mama wa mwanamuziki Diamond ana akili gani? Kila anachokifanya na mke wake anakipost Instagram, anapiga picha na mama yake Diamond za aibu.Mfano kwenye profile ya...
12 Reactions
37 Replies
5K Views
Shalom wapendwa, watumishi wengi wa bongo huenda kuvaa vitenge na wake zao yaani huwa hawapendezi kabisa, ni vyema wakiwaiga hawa watumishi kwa kuvaa mavazi yanayoendana na wakati, Mr & Mrs Carmel...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini, kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo. Sitaki kusema ni tabia gani lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Bila porojo nyingi, nani alikuwa mkali katika sekta ya bongo fleva, najua mwana FA aliingia kitambo kwa game.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuanza kunguruma leo big brothr afrca.....mwambie lolote...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Nikimuangalia vizuri huyu mtoto wa Irene Uwoya ni wazi ana hitaji kuwa na baba kama sio baba au uncle maana ni wazi huyu mtoto kwa anavyo lelewa lazima atakuja kusahau kuwa yeye ni mwanaume...
22 Reactions
234 Replies
27K Views
Ukiwa mfuatiliaji mzuri utagundua kuwa wasafi tv ni mojawapo ya vituo ambavyo vinaongoza kufungiwa au kupewa maonyo na TCRA. Hawa jamaa huwa hawazingatii kabisa misingi ya urushaji matangazo na...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
Pauline Zongo alipelekwa Sober house ili kwa ajili ya kuachana na madawa ya kulevya. Lakini Mange Kimambi aneandkika kuwa baada ya kutoka Sober amerudia tena na sasa hali yake ni tia maji tia maji.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nipende kuchukua nafasi hii kuzisifu na kuzipongeza chanel hizi mbili za television AMC na HBO kwa kutuletea vitu vizuri wapenzi wa series. Ukitaka series kali basi fuatili hizi Chanel mbili...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa sasa amapiano inapewa sana promo hapa Bongo na mbaya zaidi hata hao wanaimba amapiano hawaitwi Afrika Kusini ama kutrend vilivyo huko bondeni. Hapo zamani mpinzani mkuu wa Nigeria alikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuanzia wanamuziiki, wacheza filamu, wacheza mpira, dancers, n.k nimeona wahusika wengi walikuwa na changamoto za uchumi lakini kwenye ma producer hali ni tofauti japo sio wote ila kuna nafuu
2 Reactions
6 Replies
827 Views
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka...
12 Reactions
51 Replies
6K Views
DIAMOND KWA SASA HANA BABA, UKWELI MCHUNGU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari: Makala hii inaweza isimfae kila mtu, kwani lugha iliyotumika humu inaweza kuwa kali na yenye kuumiza kwa...
19 Reactions
138 Replies
15K Views
Huyu dada amekodi Bus la ABOOD akiwa yeye na Mwanae tu basi zima Bus limetoka Morogoro hadi Dar es salaam tena kupitia Bagamoyo, lengo ni kufurahi tu yeye na mwanae. Amelipia zaid ya Laki sita...
65 Reactions
293 Replies
26K Views
Chawa ni wafuasi ng'ombe wa watu wazito wazito wenye kutanguliza maslahi ya matumbo mbele. Mpanda ngazi hushuka. Baadhi ya watu hao hukumbuka shuka wakati kunakuwa kumekwisha kucha: "Ama kwa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna...
14 Reactions
73 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…