Ebanaaa hii ndio picha inayotrend hivi sasa ya wasanii harmonize na alikiba wamepiga wakiwa ndani ya ndege, hii imepostiwa kwenye ukrasa wa instagram wa harmonize inaelezwa na leo watapaform ndani...
Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu
*Niteke
*Let me
Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake...
Habari zinasema kwamba PJ, Abel Onesmo na Gerald Hando watapigwa chini kuanzia mwezi April mwaka huu.
Kwa kawaida, Clouds wana utaratibu wa kutoa mikataba mipya kila ifikapo April 1. Katika...
Happy Birth Day: Bob Marley.
Robert Nesta Marley , maarufu zaidi kwa jina la Bob Marley au alizaliwa nchini Jamaika tarehe 6-2-1945 kwa mama Mjamaika--Cedella Malcolm Booker, mwenye asili ya...
Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani,
Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila...
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.
Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika...
Nakumbuka alipewa kipindi cha kutangaza hip hop Clouds FM, huwa ni siku gani na saa ngapi!??
Nampenda huyu dada ni mzuri jamani, natural lakini hatari na nusu!
Hatimae msanii Harmonize rasmi ameachia wimbo alioshirikishwa na kundi la mabantu remix inaitwa Utamu, katika wimbo huo wa utamu remix Harmonize amesema kuwa ukimletea mambo ya kabwili unapunguza...
Mercedes' British F1 driver Lewis Hamilton poses with his medal after being appointed as a Knight Bachelor (Knighthood) for services to motorsports, by the Britain's Prince Charles, Prince of...
Wadau wa mandombolo na rhumba.
Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France.
Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki..
Miaka...
Usiku wa tarehe 10 December wadau mbalimbali wa burudani na michezo waliweza kushuhudia uzinduzi kabambe kwa WASAFIBET.
Katika uzinduzi huo C.E.O na boss wa wasafi media alionekana akiwasili...
yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi...
Mohamed El Mazem (Arabic: محمد المازم) is an Emirati singer
Among the festivals in which he participated are the Palmyra Festival 1999 in Syria and the Festival of Love and Nusra 2008 in...
Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross.
Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao...
Hamisa Mobetto amekuwa mama wa ajabu, dada na mtu maarufu kwa watu wengi wanaounga mkono maisha yake ya watu mashuhuri.
Ingawa amekuwa akikejeliwa na wengi kuhusu jinsi Diamond Platinumz...
Mwigizaji maarufu Bongo Hamisa Mobetto amepuuzilia mbali madai kwamba amekuwa akionekana sana na watu mashuhuri duniani kwa sababu anajaribu kumkomoa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz.
Akiwa...
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC...
Samahani wadau mwimbaji wa nchini Uganda aliyetamba Sana na wimbo wa TINDATINE Kuna mtu kaniambia alikufaga ni kweli au? Naomba msaada mwenye kujua
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums...