Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje ! Biashara zao wote ukisikia ni kufungua duka la nguo ndo biashara hata ukimuamsha haraka kumuuliza. Kutopitwa na wakati mfano smartphone...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu Alikiba hapewi sifa anazostahili. Kibongobongo mpaka sasa hana mpinzani maana wengine wote wanacopy & paste. Albam zao huboa sana kwani hukusanya nyimbo zao tu zilizotolewa huko nyuma na...
18 Reactions
66 Replies
8K Views
Wakuu Kazi Iendelee Msanii Wa vichekesho Dulvan amepost Picha Zake Instagram akiwa Amevaa Brazia(Bra) Kama Tangazo La Brazia. Vijana Wa Kiume Kwa Sasa Wanatamani Kuwa Wanawake Badala ya Kufanya...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo mitandao ya Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube imechafuliwa na Media ndogo na kubwa hii yote kuzungumzia Msanii Maarufu zaidi hapa Duniani Rihanna kumufuata Mwanamitindo Mbongo na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wimbo wa karantini umeenda vizuri Ile flow ya mziki ,mara Mamaaa nimejikata bila flow ya biti,naona producer aliunga unga tu. Huu wimbo wa Whozu "mda wetu mkali balaa ''. Mara rayvanny kaja na...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau. Haiwezekani album yenye nyimbo 16. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album. Album imejaa wa Nigeria, Wakenya, wa Ghana na wa South. Ndio...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Au niite mgongano (maana halijawa bifu 100%, ila nadhani nimeeleweka kwa huo msamiati) Mwaka jana mwishoni kumeibuka msuguano (kutoelewana) kati ya snoop dogg na Eminem. Kumbuka hawa jamaa...
17 Reactions
66 Replies
11K Views
Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikiwa leo zimebaki siku 90 kumaliza mwaka 2021, ikiwa pia imetimia robo tatu ya mwaka, kuna video nyingi za muziki wa Bongofleva zimefanikiwa kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa kipindi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aliye Kuwa Msanii wa bongo fleva na hip-hop One six kwa sasa ameamua kuachana na mziki huo na kuamua kujikita kwenye muziki wa injili. Msanii huyo amesema mengi amepitia na vikwazo vingi...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli. Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Waswahili husema maumivu ya kichwa huanza pooole poleee... Huyu dada alianza pole pole.. Ila kwa vile anaendelea kujivinia malikes na mafollowers sasa anakoelea au alikofika ni extreme. Nawauliza...
9 Reactions
141 Replies
26K Views
Baad ya Ay na Mwanfa kuwashtaki Tigo ilikuwa kimbembe jamaa wakiwa wadhamini wakuu wa Tigo fiesta wali wa block kabisa hao wawili kupafomu kwenye tamasha hilo haikujalisha ukaribu wa FA na Ruge...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama ilivyo jieleza hapo mtangazaji wa Wasafi fm Divathebawse huenda ni mdau wa JF na kama yupo humu naomba areply hapa au akiona shida ani PM. Sababu ya kusema hivyo mda huu yupo kwenye kipindi...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwanamama Yvonne Chakachaka alijizolea umaarufu mkubwa Duniani kwa nyimbo mbalimbali ikiwemo Umkomboti na Sangoma
25 Reactions
73 Replies
9K Views
Muwe na Ijumaa Njema wadau... Audio Battle. ......Tukutane hapa kidogo... Hizi ni ngoma ambazo zilifanya vizuri saana,saana...Miaka kadhaa iliyopita.. Ukiambiwa uchague moja unadhani ipi...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Ni tarehe 07.10.1950 ndiyo siku ambayo Mzee Jakaya Kikwete alizaliwa! Mzee Kikwete ukiwana kama binadamu kama wengine huwezi kosa mapungufu,lakini Mimi hua nasema wewe ni mmoja wa wanasiasa...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Rayvanny nae kazubaa sana anashindwa kuiga kama wanavyofanya WCB wako systematic in everything Label ya Next level Music haieleweki kabisa ni kwamba hana strategy za kueleweka Ukingia kwenye...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini! Kama kunamtu anamawasiliano na Mrisho Mpoto, naombeni anisaidie nimejaribu kumtafta Instagram, Facebook na kupitia baadhi ya Media presenters ila sijafanikiwa kumpata
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kwema? tukutane hapa kidogo... Jay Moe(juma mchopanga) Pamoja na Afande Sele....Hivi hawa wote wakiwa kwenye kilele cha ubora wao nani hatari zaidi?.. NB: Hasa nyakati zile za Ulimwengu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…