Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwigizaji wa filamu nchini marekani Lauren Kaye Scott, almaarufu DAKOTA SKYE amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles marekani. Mwili wa Dakota Skye umekutwa Kwenye gereji ndani ya nyumba...
6 Reactions
127 Replies
14K Views
Richard Donner, mtengenezaji gwiji wa filamu na ambaye aliongoza filamu maarufu za "Superman", "The Goonies," na nyingine zilizotamba, amefariki dunia jana Jumatatu akiwa na miaka 91, vyombo vya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi. Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae...
9 Reactions
56 Replies
10K Views
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers. Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
5 Reactions
97 Replies
12K Views
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa...
2 Reactions
64 Replies
12K Views
Saida Karoli awachambua kama karanga katika ujio wake MPYA kwenye GAME la Muziki!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Manager wa Mwanamuziki DAVIDO aliyejulikana kama OBAMA na maarufu sana kwenye viunga vya Lagos nchini Nigeria amefariki ghafla baada ya moyo kusimama kushindwa kupumua.. Apumzike kwa Amani...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Watanzania wote wako proud baada ya mrembo hamisa mobetto kupostiwa na page mashuhuri ya udaku marekani TheShadeRoom. Mrembo huyo amepostiwa kama ndio girlfriend mpya wa mwana muziki na...
9 Reactions
101 Replies
15K Views
Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja Saizi kaachia...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi. Chanzo: globalpublishers Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza...
12 Reactions
109 Replies
12K Views
Jamaa kazidiwa viewers though alianza yy kupandisha video yake YouTube.. this means hii no2 ndio inatazamwa sana kwa sasa, sasa why no1 haishuki trend?
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,.... Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa...
22 Reactions
67 Replies
7K Views
Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz. Busta...
14 Reactions
109 Replies
10K Views
Huyu Bwana napenda sana kuzijua habari zake. najua aliandika kitabu cha MAKUWADI WA SOKO HURIA, napia alifanya utafiti wa mradi wa kamba kwenye Delta ya mto Rufiji. Naomba mnisaidie ili nimjue...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya...
37 Reactions
612 Replies
126K Views
Natambua wazi alijiharibia pakubwa alipojiunga na KAYAFA kupitia kazi zake. Na niliwahi kuandika uzi kumhusu yeye na Konde boy kwamba kitendo hicho kina athari kisanii huko mbeleni. Kuna ambao...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Haiwezekani kwenye picha kuwe na kijana tajiri anayemiliki escallade 2 na mi mali kibao yenye thamani kama dollar millions 400 ,kijana ambaye hadi anao ujeuri wa kuwatukana forbes na kuwaambia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…