Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mrembo mwana mitindo na msanii maarufu anayetikisa dunia kwa sasa Hamisa Mobetto amekuja na record label ( Mobetto music) yake ambayo ofisi zake zinapatikana jijini Dar es Salaam Tanzania. Habari...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana; 1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi...
8 Reactions
52 Replies
6K Views
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube. upande wa simba yule...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Baba lao (Diamond)-kushoto kulia (harmonize) Mdogo mdogo (Diamond)-mpaka kesho (harmonize) Wezele (rich mavoko)-on the low (burnaboy) full video Niwahi (rich mavoko)-je utanipenda (Diamond) kwenye...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu Hivi Diamond Platnumz aliwaza nini kwenda huko USA, inamaana aliamini kelele za kina Baba Levo zingeweza kumpa BET kweli? Mbaya zaidi kapiga zile nguo za kimasai, aliyemshauri...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk. Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda...
35 Reactions
99 Replies
12K Views
Hawa kina dada siku hizi wako wapi Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta Nina alikuwa anaigiza katika kikundi cha kaole lakini sasa hajulikani yuko...
0 Reactions
215 Replies
51K Views
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ... Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa...
10 Reactions
135 Replies
48K Views
Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini...
1 Reactions
7 Replies
870 Views
Wakuu Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana...
5 Reactions
37 Replies
7K Views
Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix Reyza anasikiliza beat za...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Kila siku huwa nasema Vannyboy ana kipaji konki sana kwa nyimbo za kubembeleza , na hivyo kwenye hiyo angle inabidi asimamie ukucha kweli kweli, Hana mpinzan right now, Ngoma kama KELEBE inabd...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
DIAMOND USIWAPUUZE KINA KIGOGO NA WANAMTANDAO, HAO SIO KINA KONDE NA SHILAWADU Na, Robert Heriel Diamond hapaswi kupuuza hii movement ya Wanaharakati wa kimtandao na wanasiasa, asije akafikiri...
45 Reactions
199 Replies
18K Views
Kutoka jijini LA Marekani tunawaletea matangazo ya moja kwa moja kwenye utoaji wa tuzo za BET 2021, mAstaa kibao wametua jijini hapa tayari kwa hafla hii kubwa duniani,ambapo macho na maskio ya...
17 Reactions
342 Replies
31K Views
Mimi mpenzi wa Clouds Power Breakfast, Leo Tena sisikilizi na XXL. Naruka kwa kina Gadna siku inaishia. Walikuwa na bifu na Diamond Platnumz hawachezi nyimbo wala kutaja jina lake. Naona...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulingana na hali ilivyokuwa tangu kutangazwa kwa nominies wa tuzo za bet mwaka huu ilijulikana kabisa kuwa mwana kwetu, mwakilishi wetu hana ubavu kabisa kati ya miamba aliyokutana nayo. Ni...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram, aliyewahi kuwa mbunge wa mbeya mjini amepost clip inayomuonyesha akimtunza mwanamziki cristian bella jukwaani. link hii hapa: NB: nikiwa kama shabiki wa...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi. BET wenyewe hawana hata muda huo
18 Reactions
182 Replies
15K Views
Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist...
13 Reactions
39 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…