Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu
Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama...
Habari za jioni Wana JF wenzangu
Nimekua nafuatilia show za wanamuziki na matukio mbalimbali yanayoendelea nchini kwetu napenda nitoe tafakuri yangu juu ya hizi shows wanazoalikwa wanamuziki...
Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa...
Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa.
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF.
Leo naomba tujadili hili suala la...
Moja wapo ya Kanuni za Utangazaji hasa wa Runinga ni Mtangazaji Kuuvaa Uhusika hasa wa Jambo fulani unalolitangaza ili Hadhira nayo ikuelewe.
Tuko katika Kipindi cha Majonzi cha Kushangaza...
Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni Jijini Dar es Salaam linamshilikia mfanyabishara maarufu, Marijan Abubakari maarufu kama Papaa Msofe kwa tuhuma za mauaji.
Habari zinasema kuwa Papaa Msofe...
Anaandika Zari ...
Understand that this is very difficult for me to do.
There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant...
Earl Simmons ajulikanaye kama DMX alizaliwa tarehe 18 December 1970 huko Mount Vernon, New York, Marekani.
Wazazi wa Earl Simmons (DMX); Arnett Simmons na Joe barker walijaliwa kumpata mwanao...
Naomi Campbell becomes a mum at 50 as she shares photo of newborn baby
The supermodel shared a picture of her newborn daughter today and wrote: “A beautiful little blessing has chosen me to be...
Habari za kushinda wakuu.
Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa...
Wahenga wenzangu wa zamani nadhani mtakua mnamkumbuka dada kama si mama ambaye alipata kuimba kua dunia ina mambo...ooh mwanangu dunia ina mambo ..dunia hii mama lukumba lukumba dunia ina mambo...
Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena...
Korean drama imeteka soko la dunia sio tu huku kwetu bali ni duniani kote Korean drama zinaonekana.Hii imepelekea waigizaji wa Korean drama kulipwa pesa nyingi mno.Wengine umaarufu wao umekua...
Habari wakulungwa?
Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe.
Please help me to understand what's going on?
Asanteni .
--------
Jibu:
Ni...
Licha ya ndoa yao kuwa one of the biggest wedding ever iliyowahi kutokea South Africa, wanandoa maarufu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kutoka South Africa , Somiz (47)& mohale...
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli...