Habari zenu wakuu.
Kama sikosei mwaka 2008 kuna tamthilia ya kuelimisha jamii kuhusu Ukimwi, ilirushwa ITV iliitwa Hukumu ya Tunu. Ilikuwa maarufu Sana kwa kipindi kile.
Ilikuwa Tamthilia nzuri...
licha ya kwamba mimi si msikilizaji sana wa clouds fm ila tangu enzi za Masoud kipanya, Phina Mango na Hando nimekuwa ni msikilizaji wa kipindi cha power breakfast.
Sasa shida yangu ni huyu...
Baada ya mume wake kuwa anatoweka ofisini muda wa kazi, Melinda alitaka kujua huwa ana kwenda wapi. Alikodi Private Investigator. Report ya PI huyo imefahamika kuwa jamaa alikua anakutana na...
Na Thadei Ole Mushi.
Diamond 💎 Platnumz ni Moja ya wasanii wanaowania Tuzo toka BET Awards kwenye kipengele Cha International ACT.
Kwenye category yake yupo na wasanii wengine wakubwa tu toka...
Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika
ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.
Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa...
Wasalaam wana JF wote!
Leo tarehe 27/01/2018 ndiyo kumbukumbu ya siku aliyozaliwa Mama Samia Suluhu Hassan ambaye ni Makamo wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tunakupongeza...
''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz
Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu...
Ukiisikiliza hii ngoma imekaa poa sana kijana kaimba vizuri na beat iko poa sana, na zaidi video yake iko fire sana.
Sometimes unafikiria kama chibu au Harmonize wangepewa hii beat basi wangeweza...
Msimamizi wa band ya muziki wa dansi Twanga Pepeta, mama Asha Baraka amemuomba Diamond baada ya kumaliza kuwalipia kodi wananchi 500 wenye uchumi wa chin inatakiwa awakumbuke na Wasanii wa Kibongo...
Diamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.
Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.
Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.
Kuna swali naona...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono,
wameifungia Kampuni ya Benchmark Productions na kuipa muda wa siku 14, iwe imelipa deni la kodi ya Sh bilioni 7.4...
MEGHAN Markle's father Thomas Markle warned of further damaging revelations in the trailer for a new interview following the birth of granddaughter Lilibet Diana.
The 40-second trailer shows...
Sikuwahi kuwa Shabiki kindaki ndaki korean DRAMAS , Aidha ipambwe na ihit sana mtandaoni hapo ningejisogeza nipate kuangalia
Kutokuwa shabiki wa movie hizo haimaanishi hawajui hawa jamaa...
Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku Diva amejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambayo atakuwa analipwa zaidi ya kile...