Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe.
Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean "Diddy" Combs kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kundi la kesi mpya zinazodai mwanamuziki huyo wa rap aliwapatia dawa za kulevya na kuwanyanyasa...
Eric James Shigongo Mwandishi, mwanasiasi na mhamasishaji
(alizaliwa wilayani Buchosa, zamani Sengerema, mkoa wa Mwanza, 10 Agosti 1969) ni mbunge wa Buchosa katika Bunge la jamhuri ya muungano...
The music icon says he believes it’s “addictive” and “leads to other drugs”
Elton John criticized the legalization of marijuana, saying it’s “addictive” and impairs cognitive thinking.
“I...
Anaitwa MUSSA SIMBA aka BLACK MOSES Huyu alikuwa bingwa wa Disco miaka hiyo... Enzi za muziki wa Disco Uko juu sana jamaa alikuwa maarufu sana kwa aina ya uchezaji mpaka disco linapotea kwenye...
Maelezo yasiwe mengi huyo hapo mrembo mmoja anajiita sexy Diva au sio mazee.
==
Lulu Diva ni msanii maarufu wa muziki Tanzania, anayejulikana kwa sauti yake ya kipekee na uimbaji wake wa...
Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga
Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi...
Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji.
In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce...
https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050
Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni...
Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za...
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day...
ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA...
kwa hiyo kukulia hapo kwenu Mburahati basi ndio unajiona wewe mjanja
Duh, umejuaje nakaa Mburahati?? Nilijua huna code coz wewe ni wakuja a.k.a mrugamruga,mshamba na limbukeni!
Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City
Inaelezwa pia Diamond Platnumz...
Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha...
Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu...