Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo...
Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita.....
Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe
Asingejihusisha na...
Moja kati ya wasanii wachache wa Hiphop nchi hii naoweza kukaa na kuwasikiliza ni Stereo aka Singasinga aka Chundabadi.
Katoa album kali sana inaitwa Experience, naweza sema ni kati ya album...
Last born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay.
Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay...
Kilimanjaro Music Award bado ipo? Je Sponsor bado ni Kilimanjaro Premium lager? Kuna award zozote za music , film or media kubwa Tanzania kwa maana ya mikoani au taifani?
Asanteni
Huyu Zuchu anaenda kuwa kioo cha Utunzi wa Nyimbo za kuchochea maendeleo maana ana Melody Kali sana pamoja na Utunzi wa Hali ya juu, najua NANDY ataiga tu na yeye kutoa maana anatembeleaga upepo...
Habari wadau na wana wa humu
Naomba kujua kidogo kuna huyu ndugu hapa Amani kwa kaka voda milionea huwa naona anatajwa sana na wasanii kuna nyimbo kama ya jay mo na langa walimtaja sana kwenye...
Miaka kadhaa nyuma nikiwa naangalia mahojiano kati ya Mtangazaji na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Zahiri Ally, kupitia ITV (kama sikosei maana ni muda sasa)...nakumbuka jibu la Mzee Zahir baada ya...
Nimeona wasanii wamejiongeza kwa kwenda kumuunga mkono mama Samia kupewa uenyekiti wa CCM.
Nimependa ubunifu waliofanya, TShirt ni nzuri na zinaonyesha wapo tayari kumuunga mkono mama Samia.
Kwa...
Mwanadada na mfanya biashara Anerlisa , ametishia kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa mume wake, Ben Pol kutokana na madai kuwa amekuwa akimchafua kwenye mitandao ya kijamii. Anerlisa amepanga...
Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza.
Tukae mkao wa...
Ushindani ni kati ya kibuyu na aliye kichonga, sasa kibuyu inaonekana kinampa shida sana aliye kichonga. Aliyekichonga hivi sasa anahaha namna ya kuvunja hicho kibuyu lakini anashindwa.
Sasa...
For the first time nakumbuka I set my eyes on idris ( through Tv) , akiwa katika show ya BIG BROTHER miaka kadhaa iliyopita. I was so impressed with his acting skills , I call it acting coz most...
Hawajamaa walikua more than motivational speaker! Walikua wanazungumza mambo ambayo yanagusa na kuibadirisha Jamii in a positive way!
Ukisikiliza nyimbo hii unaona kabisa utofauti wa mahusiano...
BEN Pol bila muziki na kuwa staa, angeingiaje kwa mrembo wa kishua, Anerlisa Muigai? Mtoto ‘mkare’ halafu ana kisu kikali, wazazi wake pia wana mawe ya kutosha.
Ukiwa mwanamuziki mzuri huwezi...
Viatu ambavyo mtindo wake ulibuniwa na kuvaliwa na mwanamuziki Kanye West vimeuzwa kwa $1.8m (£1.3m) katika mnada ikiwa ni bei ya juu zaidi kuwahi kununuliwa .
Viatu hivyo aina ya Nike Air Yeezy...
So proud to call you my woman ..its official, ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.
Wakati huo huo, Hemedy ametangaza ujio...