Msanii mkongwe wa Hip Hop na mbunge wa Mbeya mjini, Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameachia wimbo wake mpya ‘Freedom’ ambapo ndani ya wimbo huo amezungumzia mambo mbalimbali yakiwemo mafanikio yake...
Darassa CMG Anasema Miongoni Mwa Wasanii Wapya Ambao Wapo Kwenye Label Yake Na Hana Mashaka Na Uwezo Wake Ni Huyu Hapa.. Anasema Kua Bila Shaka Anaweza Kua Mrithi Wa Young Killer Au Kumzidi Kabisa...
Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane...
Waziri Mkuu kassim majaliwa, amejiunga rasmi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram , ambapo hadi sasa ana wafuasi zaidi elfu kumi na tano na kitu huku akiwa amewafollow viongozi wawili tu , Mh...
Bondia Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa Bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama ‘Bondia Mrembo zaidi Duniani’. Kwa sasa ameshastaafu mchezo huo wapili kwa kupendwa...
Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo...
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle...
Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of...
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ...
Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha...
Tangu muziki wa kizazi kipya 'BongoFleva' umeanza kutamba kumejitokeza nyimbo nyingi za wasanii mbalimbali ambazo zimefanikiwa/zilifanikiwa kuvuma kiasi kwamba hata watoto wadogo...
Wakati Mbeya fm inaanzishwa kuna mtangazaji mmoja alikuwa akijiita tolu wa ajabu. Kipindi hicho tulikuwa tunaiona radio hiyo ya kizembe sana. Kiss ndiyo ilikuwa inabamba.
Sasa nimeambiwa kuwa...
Tazama hapaAlikiba ni baba anayejivunia wa watoto watatu. Muimbaji huyo wa ‘Mwana' ameamua kuitambulisha familia yake hiyo kwa mashabiki wake katika kuukaribisha mwaka mpya 2015.
"Nawapenda...
MTANZANIA AIBUKA KWENYE VIDEO INAYOTREND DUNIANI
Kuna Video inayotrend kwa sasa Duniani
Inayowaonyesha Vijana watatu waliovalia Taulo nyeupe Wakivuka barabara huku walicheza huko Washington...
Kuna mtangazaji wa kipindi hicho kila anapoita celebrity kuja kufanya naye mahojiano akiona kapendeza au kaja na kitu kizuri sana ana msemo mmoja kama wa kuidharau nchi yetu kwa kusema mfano...
Tusiongee Sana, hivi msanii akitoa wimbo ukawa na views wengi inamaana ndo mziki mzuri , au views inategemeana na popularity ya aliyeutoa mziki huo.
Kwasababu Kuna miziki ukisikia ni ya kawaida...
Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za...
Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending.
Jabali...
The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school.
The photograph was taken at Kensington...