Nimeona Vyombo vya Habari vimekula mapesa kibao huku wasanii wakilialia kuwa hawakupata kitu
Ni muda muafaka waje na mpango wao sio kutegemea wanyonyaji
Ila Aunty nyie mtambo, mtu unadaiwa na bado unakua mkali na vichambo juu , halafu nasikia ndo Tabia yake kutapeli watu ukimdai team yake inakuvamia wanaanza kuzusha unatafuta kiki , ila safari hii...
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.
Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.
Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio...
Chile!! IONO how y’all are sleeping, but Drake is apparently out here sleeping like a King!! He already told us he only loves his BED and his MUM, so it’s no surprise that Drake’s mattress...
Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa
Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada...
Niaje mwanangu
Niko nimepata kafeeling cha kusikia ngoma Mpya ya mwamba Roma baada ya muheshimiwa ayati Manu kufariki Mange ailaze mahali pema peponi.
Nawaza baada. Ya mama kuweka mkwara wa watu...
Afande Sele ni nani?
Seleman Msindi au Afande Sele (amezaliwa tar. 24 Aprili 1976) ni msanii wa muziki wa hip hop na Bongo Flava kutoka Mkoani Morogoro, Tanzania.
Amewahi kushinda tuzo ya (mkali...
#TATIZO Kwenye Maisha hakuna Kumaliza ama kuyaweza mpaka siku unazikwa chini,
Jiulize ni watu wa ngapi umewahi kuwajua walikuwa Maaarufu mpaka ukadhania wamemaliza lakini leo huyakumbuki majina...
Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja...
Mwanamuziki mwenye swaga za aina yake kutoka kwenye kiwanda cha bongo flavor , Lady jaydee , ametangaza rasmi Ujio wa mgahawa wake mpya( BBQ n chill) ambao ataufungua masaki around May this year...
Rapa kutoka pande za Marekani Lil Nas X ameingiza sokoni raba alizoziita ni viatu vya Shetani(Satan shoes).
Raba hizo zenye nembo ya Nike zina alama ya nyota yenye pembe sita na msalaba...
Inakuwaje wanaJF!
Ginimbi hatarii Aisee. Mungu ampokee kishujaa. Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa haijalishi angekuwa maskini ama tajiri.
Nimepiga mahesabu yangu ya haraka tu nadhan...
Kupitia Instagram yake msanii huyo wa WCB ameandika kuwa :-
“Happy birthday To Me. Ahsante Mungu leo ni siku yangu ya kuzaliwa, nakushuru maana Kufika siku ya leo si kwa mabavu yangu bali ni kwa...
Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza.
10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3
9: Jidenna,Nigeria billion 2.3...
Wakati nipo Nigeria nimebakiza siku moja kurudi wakaniemail wakaniambia Mavin Records, Don Jazzy na Dr Sid wangependa kufanya kazi na wewe kama bado upo Nigeria, Diamond ameiambia Bongo5...
Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya muziki.
Bosi huyo wa WCB amefunguka katika mahojiano na...
Baada ya msanii wa mziki wa Dance Ali Choki kupiga stori na eNEWZ wiki chache zilizopita na kusema mwaka 2018 atafanya kazi zake mwenyewe kama Mama Asha Baraka ataendelea kulala, kiongozi huyo wa...