Ndugu zangu, hasa wale wapenda mziki mzuri.
Njooni hapa tusaidiane kushangaa, tumewakosea nini Weusi? Au ni mimi ndo nimezeeka? Au matarajio makubwa kutokana na majina yao?
Mimi naona ni kelele...
Habarini wakuu,
Heading isomeke "Matarajio yangu juu ya ujio wa album mpya ya Dizasta Vina (The Verteller)" Cc Wand Paw
Binafsi, tangu nilivyomfahamu huyu mtu wa kuitwa Dazasta Vina miaka...
Heshima kwenu wana jamvi,
Leo nimeona nije na hili. Katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna wasanii wazuri na wakali sana hapa nchini ila hawajapewa heshima yao.
Hii ni orodha ya wasanii...
Wakuu
Nikamtazama bwana Yoweri Museveni wa pale Uganda
Kisha nikamtazama Uhuru Kenyatta
Nikaja kumtazama Paul Kagame , huyu kidogo nikashtuka misimamo yake inarandana sana na Hayati...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga...
Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti
Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee
Nijikite...
Wakuu, kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kujua umiliki wa DIZZIM naona kabisa kua nayo ina iwekezaji wa Diamond Platniumz ndani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
This young man is a good artist sijui kwanini hakubaliki sana kwenye contemporary bongo music. Nimeusikiliza wimbo wake 'umetuacha imara' kama tribute to the late JPM nikagundua he's a smart...
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.
Jambo hili...
Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo Mbosso mwenyewe na kuna ishu za watumwa kuchapwa n.k
Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa!
Kwan kuna shida gani.
Lakin ile ni...
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera.
Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.
Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu
Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha...
KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON
Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa...
Naanza na Msanii Roma Mkatoliki. Salute kwake kwa msimamo wake usio na shaka kutetea haki, umoja na ustawi wa taifa letu.
Natamani Mama Samia amkaribishe nyumbani tena aachane na wanafiki.
Kisanga kilitokea katika kanisa moja eneo la Buchinga baada ya majamaa kufokea vikali mtumishi wa Mungu kwa madai alikuwa akiwapendelea akina dada katika mahubiri yake.
Mdakuzi alisema kwamba...
Rosa Ree
Chemical
Stosh
Pinky
Tammy the Baddest
Cindy Rulz
Frida Amani
Chiku k
Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
RAPA Hormorapa aliwahi kutoa ngoma “Kiboko ya Mabishoo”, alipigwa tafu na Mfalme wa Temeke, Sir Nature. Hivi Harmorapa ana ukiboko gani wa mabishoo?
Kuna mdada, mrembo sana, demu tu. Ukimwona...
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika.
Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa...