Mambo vipi?
.........
Label ya muziki Tanzania, WASAFI ( WCB)
ni label kubwa sana hapa bongo,lakini pia imekua na matukio mengi mazuri na mabaya Kuhusu management nzima.
Leo jamaa Salam SK...
Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania...
Lazima tukubali huu utatu wa mameneja wa WCB wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa.
Ni ukweli usiopingika hata wewe unaesoma hapa, mtoto wako akiwa na kipaji kikubwa cha kuimba. Ukiambiwa...
MMILIKI WA GARI ALIYOPATA AJALI MAREHEMU SHARO MILLIONEA AJITOKEZA na KUSEMA HAIDAI CHOCHOTE FAMILIA YA MAREHEMU
MMILIKI wa gari ambalo lilikuwa likiendeshwa na msanii maarufu nchini...
Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli.
Akiongea na kituo cha...
Mkali kutoka nigeria burna boy hii wiki imekua ya neema sana kwake baada kushinda Tuzo ya Grammy,na siku ya Jana mkali justin Bieber ameachia album yake yenye nyimbo 16 moja kati ya ngomq hizo...
Wakuu nimesikiliza baadhi ya nyimbo za maombolezo zilizotolewa na wasanii mbalimbali Kama vile, Rayvan, Konde Boy, Msechu n.k..
Nikarudi kumsikiliza tena Capt. Komba kwenye nyimbo zake enzi zile...
Wadau salaam. Nimekuwa nikisikiliza na kutazama nyimbo za maombolezo kufuatia kifo cha JPM, hakika sijasikia ToT wakitamba kama ilivyokuwa enzi za marehemu John Komba (hata Kama wametunga)...
Watanzania poleni sana kwa msiba huu mkubwa uliotuelemea. Wengi tulimpenda sana rais wetu kutokana na mazuri mengi aliyotufanyia.
Mengi yamesemwa na sina lengo la kuyarudia. Lengo la hii thread...
Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi
Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president"
Hivi kama sio...
Alizaliwa katika eneo la kusini mwa marekani Huko Newyork, Jina lake halisi ni Curtis James Jackson III, si tunamfahamu kama 50 cent. Jackson alianza kuuza dawa za kulevya akiwa na umri wa miaka...
Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya...
Habari wadau,
Kupitia Instagram yake ameandika haya:-
“Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha...
Saa hizi niko mtandaoni nasikiliza Album ya Burna Boy ya "Twice As Tall" na nimefurahishwa nayo kupita kiasi.Niseme tu, nadhani huyu jamaa ana kipaji kikubwa na kila siku anazidi kukomaa tu. Humu...