Baada ya Rommy Jones Kuweka picha hii Instagram ..Soma kilichofuata hapo chini kutoka kwa Mashabiki wa Diamond:
samsteven62 Mh broo hapa nakupinga na hicho kidole km vp
delete hii post...
Habari.
Leo asubuhi na mapema nimekutana na wimbo nahisi ni mpya wa nguli wa mziki wa zamani Q-Chief au unaweza muita Q-Chilla kwenye kipindi cha 360 kupitia clouds.
Naona ni ujio mpya maana kwa...
Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena...
Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka...
Mwanzilishi, Mkurugenzi Mkuu, Fundi Mkuu na Mbunifu Mkuu wa kampuni ya SpaceX inayojihusisha na utengenezaji wa vyombo vya kusafiri na kufanya uchunguzi katika anga za mbali; pia mwekezaji na...
Kwenye documnets za TCRA inaonekana mmliki ni mtu anaitwa Joachim Lusana Buyobe ambapo ndio mmiliki wa Geita online TV.
Je, huyu mtu yupo kweli ama Shigongo ametumia jina tu kukwepa kuonekana kwake?
Ukisikia kurudi mjini ndo huku[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Usiku wa kuamkia nane nane Jahazi modern Taarab chini ya mfalme yussuf watakiwasha pale Dar live mpaka majogoo...
Mwezi uliopita kwa wale wafatiliaji na wapenda mziki wa hiphop kutokea majuu huko USA nadhani mlifatilia Tuzo za BET
Ila tangu Tuzi hizo zifanyike niliwaza mengi, kwenye category moja ya Upcoming...
Habar wadau
Azam TV ni kampuni kubwa sasaiv Tanzania na Africa Mashariki na Mwanzo walianza vizur ila Naona mwisho sio mzur hasa kwenye swala la Bondia now days wanaanza kufeli
Before Azam na...
Habar wadau
Siku zote Hua na simama na Maneno Aliowahi kusema Alikiba juu ya Wasafi na Diamond kuwa wanapenda kuonyesha Mbele za watu kuwa wao hawana Tatizo lolote na mtu Ila uhalisia wa Ndan ni...
Jamani ndugu zangu natamani kujua msanii marioo Ana umri gani maana Wikipedia hawajaandika kazaliwa mwaka gani...Kuna jamaa tunabishana naye anadai marioo Ana miaka 23 au 22 au 21..me nakataa...
Habari hivi wanaume wenzangu hili la huyu mzee yusuph tumuweke kundi gan ? kigeu geu au paka mapepe..si alisema mwenyewe htaki dhambi hta kidgo sasa kamrudia Mungu.
Binafsi namkubali sana huyu mama.
Katika career yake ya mziki binafsi sijawahi sikia skendo yoyote serious inayomhusu.pili nyimbo zake hajiexpose sana mwili wake ili auze album zake.. ni nyimbo...
Nabii TB Joshua.
Kutoka kwenye Moja ya account za mitandao ya kijamii zinazoendeshwa na huduma ya T.B Joshua zimewekwa Picha zinazomuonesha nabii Temitope Balogun Joshua au maarufu kama T.B...
Safaree mwanamuziki maarufu wa hip hop Marekani ameibuka kusema kuwa moja ya makosa makubwa aliyowahi kuyafanya katika maisha yake ni kuingia kwenye ndoa, amesema haitatokea yeye kuoa tena na...
Ahlana wassalan wananzengo..!! Ramadhani kareem..!! Let me go straight to the topic kumekuwa na utata kwa muda mrefu sasa kuhusu huyu mbea wa kujotolea warumi kama ni mwanaume au mwanamke kutokana...
Ukiachana na mengine, Paula bado anaweza kusimamiwa vizuri akawa anaingiza pesa huku akiwa bado anaendelea na shule. Mitandao haiharibu mtu ikiwa amepata muongozo mzuri wa kuitumia na asipopata...
Leo kupitia insta story msanii mkongwe wa bongofleva Ali Kiba aka King Kiba ameonyesha uwezo wake mkubwa wa kuujua mziki mzuri.
Ametumia siku yake ya leo kupitia insta story kuonyesha mahaba yake...
Waungwana nlisikia stori flani kuhusu marehemu papa wemba alikua na rafiki yake flani ambae alikua mwanamuziki alimpenda sana papa wemba kiasi kwamba kuna kipindi alisikia taarifa za kifo cha papa...