Kama kawaida jini mkatakamba gundu bado linaendelea kuwanyemelea lebo ya WCB ambao wameuanza mwaka huu vibaya kwa kugombana na Clouds media kitendo kilichosababisha nyimbo zao kusikiliza na...
Habari wadau,
Wale wanaume wa mikoani mkae mbali na huuu uzi.............Maanake nyie ndo mnasema Elimu bure ni kitanda kilichotandikwa kuongea maongezi ya kawaida......Sasa mi nawaambia...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila mtu amepata wasaha wakupitia na kusikiliza Album ya Msanii Rayvany basi utakubaliana nami na utaungana na wengi ni mmoja ya wasanii waliotoa album mbovu kwa...
Wakuu habari, hopeful mko poa wote,
Mmoja kwa moja kwenye mada, nikiwa nikiangalia television ya taiga la Zimbabwe ya burudani inayokwenda kwa jina la JIVE TV kwa muda sasa, cha ajabu na kupendeza...
Hello JF,
Mimi nimeona kama Ray vanny hajafanya vizuri kwenye album yake mpya.
Moja nyimbo nyigi ameshirikisha wasanii wengine wakubwa which is good strategically ila wamemfunika,lol.
Second...
Kuna zile animation za music wanatengeza wale wanaija wanajiita poka kwa kweli ni nzuri sana wanatengeneza kwa kiwango cha juu
Waliwahi tengeneza video animation jeje ya diamond mpka mwenyewe...
Wiki inayoelekea ukingoni huenda ikawa wiki bora kuliko zote kwa vijana baada ya matajiri vijana wa kitanzania kufanya mazungumzo kwa zaidi ya masaa 13.
Lemutuz ambaye anatwaja kama muajiri...
JASON DERULO🙌
Get Ugly
Ridin Solo
Want to want me
Other Side
Stupid love🙌🙌🙌
Talk Dirty
Try Me ft Jlo🙌
Kiss the sky
Swalla.
Jason Derulo alikuwaga hatari Sana.....Siku za karibuni jamaa amepoa...
Ni ngoma flani laini iko fresh tu lakini nimechoka pale Jux ule mstari anasema:
"Vanessa wanini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock block"...
Hapa naona kama hakutumia hekima kwa maana...
Ishu ya @diamondplatnumz x @hamisamobetto na @zarithebosslady yazidi kuvuka Border... Na sasa Billionaire wakike kutoka Kenya ambaye pia amewahi fanya kazi na Diamond Yamemfika hapa... Aandikia...
Huyu kaka anajua kuimba kuliko hata kina harry styles lakin sio popular kabsa. Instagram ana followers 400k na Twitter pia ana 400k. Youtube hana namba za kushangaza sana kwenye videos zake...
Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Coluds kua na...
JAMBO ambalo unaweza kuwa na uhakika nalo kwa asilimia 90 kabla ya mechi ya Barcelona kuanza ni kumuona Lionel Messi akiingia uwanjani akiwa amevaa jezi namba 10 mgongoni. Hiyo ni sawa na ambavyo...
Nimeipitia hii albumb,binafsi nyimbo mbili au tatu tu ndo nimeziona kidogo ziko vizuri,Zamani, Mama na Lala ft Jux kiasi,..nyingine zote hazina maajabu,watoto wa mjini siku hizi wanaita "utopolo"...
Japokua she is not one of my favorites , ila ukweli usiopingika Hamisa Hassan Mobetto , ndiye mrembo anayekubalika kwa sasa na mwenye mvuto kwenye jamii ukilinganisha na mastaa wenzake wa kike...
Msanii wa Muziki Kenya, Freshley Mwamburi amesema kuwa amemsamehe Stellah wake ambaye alijitolea kwa ari na mali kumsomesha Udaktari miaka 5 nchini Japan.
Baada ya Stellah kuhitimu udaktari nchi...
Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari...