Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Instagram ya Ronaldo: Atengeneza Tsh Bilioni 2 kwa kila post ya udhamini KARIBU Nyota wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, ametakiwa kukodisha akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwa dau...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo. NB...
13 Reactions
53 Replies
9K Views
Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram. Mpaka sasa post hiyo ina likes...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Nyota wa muziki Ali Saleh Kiba 'Ali Kiba' anatarajia kuachia Album yake mpya mwaka 2021. Itakumbukwa kuwa King Kiba mwaka 2018 alisema kuwa albamu yake ijayo iliyoshindikana kutoka mwaka huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia...
11 Reactions
74 Replies
8K Views
Huko insta diamond kaisafirisha familia yake nzima kwenda Dubai bila kumsahau Mr shamte kipoozeo cha mama na dangote, Na Nzi mbeba mikoba nae muuza mchele mjini hapa shogaangu Jumalokole2 nae yupo...
9 Reactions
225 Replies
32K Views
Baada ya kundi la yamoto band kusambaratika kutokana na madogo kutumika kwa mkubwa fela p na Temba bila kufaidi jasho lao hata zile nyumba walizojengewa mkubwa fela kukataa kuwapa. chanzo cha...
9 Reactions
74 Replies
15K Views
Wasalaam wana jamvi. Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana. Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wadau! Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike? Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya. Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo...
25 Reactions
163 Replies
35K Views
Inasemekana Mama Clinton alishinda mpambano huo! Another kind of presidential race By Gabriel Gatehouse BBC News, Tallinn, Estonia Saturday, 17 May 2008 As Hillary Clinton battles to...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwaka jana Michael Lukindo aliacha kazi Mjengoni kwa madai anataka akafanye muziki, lakini mwaka umepita sijaona huo mziki akifanya na matokeo yake, labda alikuwa na sababu ingine ambayo hakutaka...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Ni yule demu aliekuwa aki-present na TBWAY 360 kwenye pindi la 5 selekt la EATV...She has a good presenting skills, she is cute hlf hana skendo, hata kama anazo hazijasikika kama za hawa upcoming...
3 Reactions
64 Replies
22K Views
Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK) Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha...
9 Reactions
125 Replies
22K Views
Jumba hilo kubwa la kifahari lililojengwa katika eneo lenye ukubwa wa ekari 2,700, Neverland, Los Olivos, California limeuzwa kwa Mfanyabiashara tajiri aitwaje Ron Burkle kwa Dola za...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
Ni msanii mtukutu . Alipotea ghafra. Hatujui aliko. Ni Godfrat Tumaini a.k.a konk master DUDU BAYA. Nawasirisha tafadhari. 2020/2021
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna ubishi unaendelea mahali, ubishi wenyewe unawahusu KING OF REGGAE ambaye si mwingine bali ni BOB NESTA MARLEY na KING OF POP ambaye ni MICHAEL JACKSON sasa ubishani uliopo nani ni maarufu...
0 Reactions
68 Replies
13K Views
Kwa Mabeste tunajua tatizo ni pesa; hata yeye anakiri hilo, mbaya zaidi ni kwenda kuishi na aliyekuwa jamaa yake. Pia hili suala lilimkuta king wa mziki wa TZ Ally Kiba japo yeye anakanusha suala...
3 Reactions
39 Replies
11K Views
Huyu mwamba kaendelea pale Mabeste alipokwamia, wanasaikolojia waombwa kumuangalia mabeste aachane na uraibu wa sigara na pombe.
4 Reactions
101 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…